Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,663
Wewe kua muwazi tu! Usijifiche!
Leo Lazima unyingwe na huyo Moyes wenu wanamfukuza Leo!
Wewe huoni mpk saizi wenye Uzi wamejificha Darini?
Pole Yao mashetani weupe!
......hehehehehheee
View attachment 132919
haoni hata haya!!!
View attachment 132920
....na na tuzo yake ya Fall on Floor!
Leo kinanuka pale SB.Ha hahaaa...
Kitanuka kweli kwa Morinho
Wewe Farisayo Wewe! Acha kua mbishi Km mafarisayo wako Wa zamani! Man Utd Hana uwezo Wa kuisulubu chelsea!
......hehehehehheee
View attachment 132919
haoni hata haya!!!
View attachment 132920
....na na tuzo yake ya Fall on Floor!
Man United XI: De Gea; Rafael, Evans, Vidic, Evra; Valencia, Carrick, Jones, Young; Januzaj; Welbeck.
Subs: Lindegaard, Giggs, Smalling, Hernandez, Cleverley, Fletcher, Kagawa
Let's do this #ManUnited
Moyes angeanza na Kagawa badala ya Young. Man Utd huwa wanacheza vizuri Kagawa akianza Midfield. Hii ni moja ya mechi ambayo ntaisapoti kwa manufaa yasiyo ya Man utd.
Young kaanza kwa ajili ya kumpa tafu Evra.....Patty amechoka siku hizi....ningependa kama Buttner angeanza badala yake.....
Ila makocha ndiye wanaojua performance ya wachezaji mazoezini....hivyo yote sawa.....
Weka panadol karibu maana kichwa kitaanza kuuma sasa hivi