Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii timu dhaifu sn,yani hawa watoto wanafanya wanavyotaka.Man hata kuwatuliza hawawezi
 
Tulikua tunahitaj goli mbili kwnd juu kwny hii mechi lkn namna timu ilivokua inacheza ni as if tunaongoza goli tano..huoni jitihada wala spirit ya kutafta goli wachezaj wanaruka ruka tuu..

Gemu ya juzi ma west ham kipnd cha pili westham walivokua wanacheza ndo timu inayotafta goli inatakiwa kucheza hivo na sio back pass nying zisizo na msingi

Tuna safar ndefu sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…