Wanaoipenda hii timu wanapitia nyakati ngumu sana
Waliokuwa wanamponda ni wajinga tu..
Bila ubora wa DDG hawa West Ham walikuwa wanatupiga goli sio chini ya tatu. Mungu mbariki DDG.
Ubora wa Martinez sijui waliokuwa wanaponda kimo chake wanahali gani kwa sasa.
Uliangalia mechi vizuri?Man utd inashida gani mbona inacheza mpira slow sana, hawana kasi na wanaruhusu kushambuliwa zaidi na wapinzani, tatizo nini kwani jamani
Halmanusura wasawazishe jana wale jamaa
Nyie ni nyakati gani mnafurahia?Wanaoipenda hii timu wanapitia nyakati ngumu sana
Ndio mkuuUliangalia mechi vizuri?
January tukimrelease CR7 by mutual agreements naamini patner wa dalot atakujaErik ten Hag on Dalot: "I have to mention Man Utd need two good full-backs because we have a lot of games to play."
---‐-------'
Nileteeni jeremie frimpong wa bayer leverkusen. Ndicho anachomaanisha ten hag.
Kwaheri wan bissaka
Kwenye kupiga pasi siyo Ronaldo tu yani wale wangese wanafanya mambo yawe magumu sana.Hii timu muda wote inamwaga maji
haina mfumo sahihi
Magoli yao mengi ni ya Mungu nisaidie
ronaldo arudi benchi tu
pasi ya kawaida anashindwa kupiga
CR 7 jana alilazimisha sana mwili wake kufanya pressing ili kuonesha umuhimu wake lakini bado mwili ulkua unagoma tu.Kwenye kupiga pasi siyo Ronaldo tu yani wale wangese wanafanya mambo yawe magumu sana.
Pasi za kawaida tu hawawezi kupiga kitu kinachopelekea tunapoteza mipira haraka.
De Gea baada ya kutoswa na kocha wa Spain hasira zote kaamua kuzihamishia kwenye Epl.Kwani De Gea kafanya nn leo huko? Naona anapongezwa na kila mchezaji wa Man u