Acha hizo bana hakuna kupiga mwingi ni uzembe wa wachezaji kuclear mipira
Unakuta umetua kwa Rashford badala ya kuupiga mbali hata uende goli lao urushwe au goal kick eti unaurudisha.
Wamenikera.
Maguire asirudi tena, hakuna alichosaidia kutokana na urefu wake na likichwa lake alikua awe anajipostion kuondoa mipira ya langoni, cha ajabu Martinez mfupi ndie anafany na Dalot.