Wakuu hata kama Ronaldo ana umuhimu ndio, ila kuna mechi za kuanza na kuna mechi za kuingia sub.
Na sasa anazidi kuonesha mentality ya kuprove wrong ten Haag kwa kufunga. Inafanya akipata mpira tu awaze shuti bila kujali build up.
Hii kero Dah!
Hata afunge mechi hii bado sio sahihi mwamba hafiti kabisa.
Na huyu Elanga na Maguire matakataka sana ukifocus kwao ya afadhali Ronaldo.
Hata hivyo tunapoelekea Mgogoro wa Ronaldo unaweza kua mkubwa Tena akipigwa benchi.
Duh mwamba asepe kiroho safi.
For mafan wake walio timu nyingine aje kwenu basi afanyie majaribio ya kumprove wrong Ten Haag.