OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Achana na vibwengo wa humu, hawatakuelewa , Heshima ya Ronaldo OT itakuwa ya Karne na Karne , huyo Ten Hag ni suala la mda tuu kutimuliwa pale....!! Mpak sasa hakuna striker wa kumkalisha bench Ronaldo pale Man u, sku akiwa benchi magoli yanafungwa na midfielders , ndo nin sasa ? Alaf unamweka mtu bench , kuna namna ya kumanage high profile players , huwez kuwaongoza Kwa usawa na wachezaji wengine , hyo ipo wazi na makocha wenye akili wanajua . ... Kuna kitu anataka kutengeneza Ten Hag ambacho hatoweza na hakipo....., et kutiisha timu 🤗 , Real Madrid na Bayern Munich ni timu zingine ambazo kocha huwez leta ubabe Kwa key players....May be na umri mdogo but hujajibu unaruka ruka is it true kuwa Ronaldo amemzidi kila kitu Ten Hag?nataka unijibu YES OR NO achana na story
PSG ni moja ya reference ambayo imewashinda makocha wengi kuimanage coz ya mambo kama haya Ronaldo anampa headache sana Ten Hag why hutaki kukubali?hakumpanga vs Manchester City Dunia ikaongea Vs Spurs dunia imeongea (ushindi umefunikwa na Ronaldo kuwa snub vs Chelsea) nachosema Ronaldo anamuumiza sana Ten Hag anatamani contract ya Ronaldo iishe na he knows atakuwa na 38
Ronaldo ana uwezo wa kumvimbia Ten Hag na dunia ikampa support hata humu Jukwaani kuna wadau wamegawanyika wanaamini bila Ronaldo no ushindi so solution ni Ronaldo amalize contract aagwe kwa heshima kuna siku ni lazima Ronaldo atarudi United akiwa coach au Technical Director
sawaNyumbu mara ya mwisho kuongoza ligi ten hag alikuwa na rasta kichwani
Wagonga nyundo wa London tuna jambo letu kesho
Unaumia ukiwa wapi mchizi boti?Kwenye Europa munawafunga wavimba macho timu ya mchangani alafu munasema muna timu
ChiziKwenye Europa munawafunga wavimba macho timu ya mchangani alafu munasema muna timu
Ronaldo is not a key player ndo maana anawekwa nje na timu ina pafomAchana na vibwengo wa humu, hawatakuelewa , Heshima ya Ronaldo OT itakuwa ya Karne na Karne , huyo Ten Hag ni suala la mda tuu kutimuliwa pale....!! Mpak sasa hakuna striker wa kumkalisha bench Ronaldo pale Man u, sku akiwa benchi magoli yanafungwa na midfielders , ndo nin sasa ? Alaf unamweka mtu bench , kuna namna ya kumanage high profile players , huwez kuwaongoza Kwa usawa na wachezaji wengine , hyo ipo wazi na makocha wenye akili wanajua . ... Kuna kitu anataka kutengeneza Ten Hag ambacho hatoweza na hakipo....., et kutiisha timu, Real Madrid na Bayern Munich ni timu zingine ambazo kocha huwez leta ubabe Kwa key players....
Yeye aombee Tu Ronaldo asepe January ,
Ronaldo akivimba anaishia benchi, nyie mtakaomsapoti mtafanyaje zaidi ya kuchonga ngenga?May be na umri mdogo but hujajibu unaruka ruka is it true kuwa Ronaldo amemzidi kila kitu Ten Hag?nataka unijibu YES OR NO achana na story
PSG ni moja ya reference ambayo imewashinda makocha wengi kuimanage coz ya mambo kama haya Ronaldo anampa headache sana Ten Hag why hutaki kukubali?hakumpanga vs Manchester City Dunia ikaongea Vs Spurs dunia imeongea (ushindi umefunikwa na Ronaldo kuwa snub vs Chelsea) nachosema Ronaldo anamuumiza sana Ten Hag anatamani contract ya Ronaldo iishe na he knows atakuwa na 38
Ronaldo ana uwezo wa kumvimbia Ten Hag na dunia ikampa support hata humu Jukwaani kuna wadau wamegawanyika wanaamini bila Ronaldo no ushindi so solution ni Ronaldo amalize contract aagwe kwa heshima kuna siku ni lazima Ronaldo atarudi United akiwa coach au Technical Director
Ronaldo akivimba anaishia benchi, nyie mtakaomsapoti mtafanyaje zaidi ya kuchonga ngenga?
Na sasa hivi anacheza kwasababu tuna options chache kwenye striking force. Tukishaweka mambo sawa huyo Ronaldo atakuwa kama Harry Maguire. Takwimu zinaonesha msimu huu bila Ronaldo timu inacheza vizuri kitimu na inafunga bila Ronaldo.
Ten Hag ni kama Pep, hakuna mchezaji wa kumpanda kichwani na akaendelea kudumu kwenye hiko kikosi. Wachezaji kibao wameshaoneshwa mlango wa kutokea kwa attitude za aina hiyo.
Mpelekeni huyo Ronaldo hata hapo West Ham awape makombe.
FYI, Ronaldo hawezi manage mtu, anafaa kuwa chini ya mtu. He has no skills to be a manager. Managing carrer yake itaishia kuwa failure kama kina Scholes, Rio, Garry, Roy Keane.
Formula ni ile ile ronaldo bench,magwaya benchiKesho utashangaa tunashindwa kuchukua points 3.