Huyu antoni ni kanyaboyaNilipenda sana uamuzi wa Ten hag jana kwa Antony jana..
Timu inahaha kutafuta goli watu wanatoka ulimi nje na jasho la kutosha, lenyewe limepokea mpira.. huku kulia Dalot kafungua chumba..Mbele pale Cesa kafungua kwenye box... Linyewe limepokea pasi safi badala ya kupress kwa Dalot au lichokonoe kwa cesa kule kwenye box linazunguka tu na ma spin yake ili kutafuta mkenue kwa mashabiki. Anakuja kutoa pasi too late na cesa kakata tamaa mpira ukaenda nje..
Baada ya kipenga cha break.. likapotelea hukohuko.. hakuna kurudi uwanjani. Wish Ten alimkanya sana.. Wenzako wanamoto sana wewe unaleta utoto..!!
Account yake magoli EPL alianza ninyi vibonde wetu wa muda wote.Antoni hana tofauti na kisinda
Baada ya mechi aliulizwa kwenye interview kama hii ndo ilkua sababu ya kumtoa na akakataa.Nilipenda sana uamuzi wa Ten hag jana kwa Antony jana..
Timu inahaha kutafuta goli watu wanatoka ulimi nje na jasho la kutosha, lenyewe limepokea mpira.. huku kulia Dalot kafungua chumba..Mbele pale Cesa kafungua kwenye box... Linyewe limepokea pasi safi badala ya kupress kwa Dalot au lichokonoe kwa cesa kule kwenye box linazunguka tu na ma spin yake ili kutafuta mkenue kwa mashabiki. Anakuja kutoa pasi too late na cesa kakata tamaa mpira ukaenda nje..
Baada ya kipenga cha break.. likapotelea hukohuko.. hakuna kurudi uwanjani. Wish Ten alimkanya sana.. Wenzako wanamoto sana wewe unaleta utoto..!!
Stupid boy kwani nilichokisema hukijui njoo na facts za kunipinga kwa nilichokisema sio unakuja na stupid questionsUnaongea kiushabiki au kama mwanamichezo? Punguza utoto.
Ki professional asingekubali mzee, ili kugain confidence ya mchezaji kwa public. Ila naamin ndani ya dressing room dogo alikula vitasa vya kutosha tu, ukitaka kuona hili mwangalie dogo alivosawajika pale bench mpaka mechi inaisha dogo karefusha mdomo utafikiri kala ndimu..!!Baada ya mechi aliulizwa kwenye interview kama hii ndo ilkua sababu ya kumtoa na akakataa.
Punguza assumptions,ukisikia mpira burudani ndo kama hivyo.Ki professional asingekubali mzee, ili kugain confidence ya mchezaji kwa public. Ila naamin ndani ya dressing room dogo alikula vitasa vya kutosha tu, ukitaka kuona hili mwangalie dogo alivosawajika pale bench mpaka mechi inaisha dogo karefusha mdomo utafikiri kala ndimu..!!
Kumbe we ni assAnalRonaldo ni mkubwa kuliko Ten Hag kimaendeleo, kipesa ,kiuchumi ,kimataji ,yaani everything that's why hata jana kampanga CR7 baada ya ban vs Chelsea hapo Ten Hag anaomba Mungu Ronaldo contract iishe coz atakuwa na 38 na yeye ataridhia kusepa kwenda may be USA or China or Uarabuni kula maisha Ronaldo anamtesa sana Ten Hag I am telling you
The so called "legends" walishaprove failure kwenye managerial carreer zao.
Hakuna watu wanaomchukia Antony kama mashabiki wa Arsenyani, na chuki zao sababu kubwa ni Antony ndie mwanaume wa kwanza kuwabikiri kwenye Unbeatable.Account yake magoli EPL alianza ninyi vibonde wetu wa muda wote.
Ten Hag on Antony's skill: "I don't have a problem with that as long as it's functional."Punguza assumptions,ukisikia mpira burudani ndo kama hivyo.
Alafu yule ni mbrazil anaruhusiwa.
Nilitaka nipuuzie lakini kuna sauti ndani ya nafsi yangu imenisihi sana nikufunze kitu mdogo wangu usinge jibu namna hii. Unaonekana bado ni kijana mdogo chini ya miaka 25 huna uzoefu halisi na maisha.Stupid boy kwani nilichokisema hukijui njoo na facts za kunipinga kwa nilichokisema sio unakuja na stupid questions
@computerarsenal na hamis77 ni katika mashabiki wa Arsenal werevu na ninaowakubali na kuwaheshimu sana.Nilitaka nipuuzie lakini kuna sauti ndani ya nafsi yangu imenisihi sana nikufunze kitu mdogo wangu usinge jibu namna hii. Unaonekana bado ni kijana mdogo chini ya miaka 25 huna uzoefu halisi na maisha.
Kuna kitu kinaitwa heshima na hekima hivi ni vitu muhimu sana unapaswa kuwa navyo haijalishi una elimu kubwa kiasi gani (Ph.D), pesa nyingi kiasi gani (millions in USD), IQ kubwa kiasi gani (triple digits) siku zote unapaswa ujifunze kuheshimu mamlaka iliyojuu yako haijalishi watu wa walio nyuma ya hayo mamlaka unawazidi kwa kiasi gani.
Unaweza kumdharau baba yako kisa wewe una pesa na elimu kumzidi? Unaweza kudharau executive order (Rais) kisa wewe unamzidi fedha na elimu Rais? Uliposema Ronaldo anamzidi kila kitu Ten Hag kichwani ilinijia taswira kwamba wewe utakuwa ni kijana mdogo sana kiumri. Kumzidi mtu kila kitu hakupaswi kukufanya uwe na dharau na kiburi.