martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 864
- 1,463
Haitobadilisha kwamba jamaa ammecheza soka kwa mafanikio makubwa sana na kila mtu anaejihusisha na football dunia kuna wakati anatamani angekua yeye(Ronaldo).Habari za pele na maradona tunazikubali lkn kwa Generation hii. RONALDO DID what is needed to be done .Erik ten hag maybe anaumia pale manchester inaposhinda na Ronaldo akiwa sehemu ya timu pale vyombo vya habari vinapo mpa Christiano airtime zaidi ( Ronaldo helped mufc to win agaist .......) i think ndo vitu hataki kuviona anataka yeye ndo awe front pageHii Hali ilitukuta Arsenal kipind Arteta ameamua kuwafurumusha Auba na Ozil, alipokea maneno mengi ,Lakini alisamama na msimamo wake
Tena Ten hag naona ana kahuruma kiasi, nimeona sehemu eti aombe msamaha ,huyu alitakiwa asicheze Tena Hadi akimbie mwenyewe ,huyu kwa kosa lile la kwanza ,na Lile la preseason ilitakiwa hata mech za Europa asiguse ,apigishwe warm up halafu anarudisha bench
Auba na Ozil wanaelewa kilichowakuta , hata carabao walikuwa hawachezi, na kila week wanawekewa £350k , had Auba akaenda kupiga magoti kwa Rais was Barca asajiriwe ,
Ronaldo amshukuru Ten hag hata Europa anacheza,kwa matukio yake yakujifanya mkubwa kuliko klabu ,alitakiwa aminywe iwe fundisho .
Fans wa Ronaldo mna shida sana,ingekua hivyo hadi leo Pele angekua anapata nambaHaitobadilisha kwamba jamaa ammecheza soka kwa mafanikio makubwa sana na kila mtu anaejihusisha na football dunia kuna wakati anatamani angekua yeye(Ronaldo).Habari za pele na maradona tunazikubali lkn kwa Generation hii. RONALDO DID what is needed to be done .Erik ten hag maybe anaumia pale manchester inaposhinda na Ronaldo akiwa sehemu ya timu pale vyombo vya habari vinapo mpa Christiano airtime zaidi ( Ronaldo helped mufc to win agaist .......) i think ndo vitu hataki kuviona anataka yeye ndo awe front page
Hamna kitu hapo, anakula hela za bure tuuu.yeah my guy
Kweli kabisa, ila ujinga aache na akubali umri umeenda japo bado yuko yuko fit.Haitobadilisha kwamba jamaa ammecheza soka kwa mafanikio makubwa sana na kila mtu anaejihusisha na football dunia kuna wakati anatamani angekua yeye(Ronaldo).Habari za pele na maradona tunazikubali lkn kwa Generation hii. RONALDO DID what is needed to be done .Erik ten hag maybe anaumia pale manchester inaposhinda na Ronaldo akiwa sehemu ya timu pale vyombo vya habari vinapo mpa Christiano airtime zaidi ( Ronaldo helped mufc to win agaist .......) i think ndo vitu hataki kuviona anataka yeye ndo awe front page
Walete hao
This would be the best signing ever post Sir Alex Ferguson era.Manchester United are reportedly interested in signing João Felix. He is dissatisfied with Diego Simeone & wants to leave Madrid.
#SkySports
#GlazerOUT
#GGMU
manutd View attachment 2397257
Haters mnahangaika sana!Hamna kitu hapo, anakula hela za bure tuuu.
Yan Mkuu ukakaa kbs na ukajarb kuandika na kujustify Cr7 anayo fanya ni sahihi na ukaenda mbl zaid kusema Ten Hag anaumia kuona Cr7 anakua mbele ya kurasa?.. Dah nimesoma andiko lako nime Conclude tu kitu ki1, mahaba au unazi na ki2 fulan usizid kipimo.Haitobadilisha kwamba jamaa ammecheza soka kwa mafanikio makubwa sana na kila mtu anaejihusisha na football dunia kuna wakati anatamani angekua yeye(Ronaldo).Habari za pele na maradona tunazikubali lkn kwa Generation hii. RONALDO DID what is needed to be done .Erik ten hag maybe anaumia pale manchester inaposhinda na Ronaldo akiwa sehemu ya timu pale vyombo vya habari vinapo mpa Christiano airtime zaidi ( Ronaldo helped mufc to win agaist .......) i think ndo vitu hataki kuviona anataka yeye ndo awe front page
EtH anamkubali sana CR7 hilo lipo wazi,Shida ni tabia za kitoto anazoonesha CR7 its very strange.Haitobadilisha kwamba jamaa ammecheza soka kwa mafanikio makubwa sana na kila mtu anaejihusisha na football dunia kuna wakati anatamani angekua yeye(Ronaldo).Habari za pele na maradona tunazikubali lkn kwa Generation hii. RONALDO DID what is needed to be done .Erik ten hag maybe anaumia pale manchester inaposhinda na Ronaldo akiwa sehemu ya timu pale vyombo vya habari vinapo mpa Christiano airtime zaidi ( Ronaldo helped mufc to win agaist .......) i think ndo vitu hataki kuviona anataka yeye ndo awe front page
Acheni kulinganisha Ronaldo na taka taka , Ten hang atasepa , Ila Ronaldo ataendelea kukumbukwa Old Trafford vizazi na vizazi hata kama atasepa January ... Nyie mashabiki wa JF hamna impact yyteEtH anamkubali sana CR7 hilo lipo wazi,Shida ni tabia za kitoto anazoonesha CR7 its very strange.
CR7 lazima aoneshe high degree of professionalism,Btw sioni kama January tutakuanae binafsi naona asepe tu asijekuchafua dressing room.
Futuhi warriors fcwanaume wanacheza UEFA alafu kuna nyinyi
This level of ignorance is alarming.Haitobadilisha kwamba jamaa ammecheza soka kwa mafanikio makubwa sana na kila mtu anaejihusisha na football dunia kuna wakati anatamani angekua yeye(Ronaldo).Habari za pele na maradona tunazikubali lkn kwa Generation hii. RONALDO DID what is needed to be done .Erik ten hag maybe anaumia pale manchester inaposhinda na Ronaldo akiwa sehemu ya timu pale vyombo vya habari vinapo mpa Christiano airtime zaidi ( Ronaldo helped mufc to win agaist .......) i think ndo vitu hataki kuviona anataka yeye ndo awe front page
Kuna kipindi tulikuwa tunamtegemea januzaj sijui kakowapi sahv 😄Sema hii timu tumepitia magumu sana, kuna kipindi tulikua tunamtegemea Fellaini.