Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Fairly man utd deserved a win for this match ni ujinga wa vijana wachache tu kujichekesha kwenye 18 ya timu pinzani. It could be 0-2 kama vijana wangekua serious pale mbele
Kuna ufala mwingi sana ulikua unafanyika kipindi cha kwanza.
Hii game ilitakiwa iwe imemalizika mapema sana ndani ya dakika 45 za kipindi cha kwanza ila naona wachezaji wetu waliingia uwanjani na mentality ya kutoka sare.
 
Huyu kocha apewe muda, timu imeanza kucheza kitimu sasa.
Kuna mashabiki wenzetu wanadai aangaliwe kwa vile tu ametoa adhabu kwa Ronaldo akiwa kwenye harakati za kujenga nidhamu.
Wanasahau kwamba hapa Duniani msingi wa kila aina ya mafanikio ni NIDHAMU.

Timu yetu inacheza vizuri sana chini ya EtH, unaona kabisa ari, muunganiko na hamasa waliyonayo wachezaji. Wote wanajuana na kuelewana, leo nimeona kitu ambacho sijawahi kukiona tangu Sir AF astaafu.

Timu kwa sasa inamhitaji mtu mwenye uchu wa kufunga magoli, kimsingi tunahitaji 'Haaland' wetu.
 
Kuna ufala mwingi sana ulikua unafanyika kipindi cha kwanza.
Hii game ilitakiwa iwe imemalizika mapema sana ndani ya dakika 45 za kipindi cha kwanza ila naona wachezaji wetu waliingia uwanjani na mentality ya kutoka sare.
Sanaa... Mpaka sasa rashford nadhani yupo ni kwa sababu ya uingereza wake tu otherwise i don't see him in first eleven
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…