Karibu Veteran wetu...wapinzani tushawazoea wewe page 5 za thread zajazwa na wao tuu?, nadhani this weekend wamekosa cha kusema, ila huwa hawakosi hawa, nahisi wanaugulia maumivu ya JJB Stadium....Lol..!
Mbonea; Excitment in as far as Manutd they are concerned i guess will be in each and every week, hence forth kufika May mwakani utakuwa na unnecessary thread zaidi ya 50!.... Kuwa mwelewa tu 'coz it not once umeanzisha thread za one match, fanya kufwata ushauri ili wote tulifurahie jukwaa na tumpunguzie mzigo Mod wetu, Ab Tchaz.
Ni mtizamo tu...
Mtu mzima AC Milan kamatatwa na FC Zurich pale pale Italy kwa 1 : 0. Timu za Italy zina hali mbaya jana Inter imetoka sare na Rubin Kazan. Kazi kweli kweli.
Naona Giggs ameamua kuwanyamazisha critics wake waliopiga kelele kuhusu kupewa PFA Player of the Year award, mjamaa yuko kwenye form sana season hii naomba aendelee hivi hivi. Berbatov naye alishine jana.

Sure Mkubwa, wengi wetu tunasahau kuwa ukiwa mwongo/mbishi lazima uwe na kumbukumbu, at the end of the day tukiwa tunamtetea s'body/maamuzi fulani, huwa tuna base on facts, henceforth pple should take note of wat happened before.