Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ile Trap aliyotega conte ya kumsifia cr7 ili aanzishwe iwe rahisi kumkaba, jana Ten kairuka vizuri tu

Matokeo mliyopata jana
Ni ushindi kwa ARSENAL, technically wazee wetu mnazidi kubariki hiki kikombe cha ligi msimu huu tukibebe

Pongezi za dhati kwa Fred, Nilishawai kumuelezea humu.
Kwamba leo mzima, kesho kichaa anapiga watu mawe


Haaland kiatu
Arsenal ndoo
 
Ligi bado mbichi sana, haya mambo njoo uyazungumze tukiwa mzungo wa pili wa ligi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongeren man u , wale wajinga wanachojua kukaa nyuma kusubiria kaunta

Halafu media zinakuja kusema Conte masterclass

I'll Yule Ronaldo anamsumbua Sana Ten hag
Ronaldo hajawahi kumsumbua 10 Hag hata kidogo ila 10 Hag anajua kuwakomesha wachezaji wenye kaliba ya Ronaldo.
Ronaldo ile dhambi yake ya kuacha kuhudhuria kwenye mazoezi na mechi za pre season ndio inayomtesa kwa sasa.
10 Hag aendelee kushikilia hapohapo ili kudumisha nidhamu ya timu.
 
mKuu ndio unajua leo mimi Ronaldo nilikuwa namkubali kama Kaka angu vile yani hata kama mtu akiwa anamponda natetea kama ananijua vile ila alipokuwa anaradhimisha kuondoka tena analeta ubinafsi na anagomea kuja mazoezini na mechi za Pre season jamaa nishamchukia mpaka sielewi mwanzo nilikuwa namPendea nini
.
 
Cody Gakpo: "Manchester United talks ended about a week before the end of the transfer window... so in that final week I had to decide if I would go to Southampton or Leeds", tells The Times.
#LUFC #SaintsFC

"In the end I stayed at PSV, yes - but it was a stressful period!".

#GlazerOUT
#GGMU


manutd
 
Cristiano Ronaldo left Old Trafford before the final whistle against Tottenham. He left the stadium instead of heading to the dressing room [Laurie Whitwell]

#RonaLdoOUT
#GlazerOUT
#GGMU


manutd
 
Casemiro’s game by numbers vs. Tottenham Hotspur:

85% pass accuracy
70 touches
10 ball recoveries
4 ground duels won
3/4 long balls completed
2 interceptions
1 clearance

#RonaLdoOUT
#GlazerOUT
#GGMU


manutd
 
jana tumewapelekea moto tot mpaka kibendera katupa ‘advantage’ ya offside!!

Ilipigwa ndefu kwa Kane, Alikuwa offside na kibendera kanyoosha kabisa kibendera but baada ya mpira kumkuta shaw nae kutoa pasi… kibendera kumuona ref kamute nae akashusha chini kibendera mbugi likaendelea mpk mpira ukamkuta Fernandez na akatumbukia kimiani bila ajizi kuandika la pili.

Sijui wangapi walilinasa lile tukio.. jana nimelala kwa raha sana
 
Niliona, ingekuwa bongo hasa kariakoo derby, hahaha ugomvi mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…