Lindelof yupo hapo kwa sababu Varane hayupo..au unataka nani acheze ikiwa VARANE is not available"doubtful"Mosi,Casemiro hana speed ya EPL nimemtazama mara kadhaa sioni akiwa msaada mkubwa msimu huu.
Pili,sijawahi hata mara moja kumwaminiLindelof sijui kwanini kila akiwemo uwanjani nakosa imani.
Tatu wengine nakubaliana na wewe 100%.
Casemiro vurugu za EPL haziwezi.Mosi,Casemiro hana speed ya EPL nimemtazama mara kadhaa sioni akiwa msaada mkubwa msimu huu.
Pili,sijawahi hata mara moja kumwaminiLindelof sijui kwanini kila akiwemo uwanjani nakosa imani.
Tatu wengine nakubaliana na wewe 100%.
Mdogo mdogo atazoeaCasemiro vurugu za EPL haziwezi.
Antony ball1-1 antony kashaturudisha mchezoni.. asssist martial
Pole sanaaEveryon piga haoooo
😂😂😂Everyon piga haoooo