Sina shaka mechi ya leo, City anaenda kui dominate na kama kawaida yake atacheza high line. Kama wachezaji watakuwa na discipline, wakaweka workrate kubwa as a team(hii inawezekana Ronaldo asipoanza) , intensity kubwa, cover more distance uwezo wa kupambana na City upo. Sijui kama tutashinda ila lazima tumfunge magoli kadhaa kwa kuwa tupo vzr kwenye counter. Defence yetu ndo itaamua kama tunashinda mechi au la..