Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndugu zetu j2 mtatusamehe kwakweli..kwakua tunatafta kombe na nyinyi mnatafta top 6 kwa hiyo Hamna namna.. Sifurahi hivyo Ila ndo hakuna namna itabidi tuwabomoe tu japo tutawafunga huku tunalia kwsababu nyie ni ndugu zetu wa damu...WE ARE MANCHESTER
 
Ndugu zetu j2 mtatusamehe kwakweli..kwakua tunatafta kombe na nyinyi mnatafta top 6 kwa hiyo Hamna namna.. Sifurahi hivyo Ila ndo hakuna namna itabidi tuwabomoe tu japo tutawafunga huku tunalia kwsababu nyie ni ndugu zetu wa damu...WE ARE MANCHESTER
[emoji23][emoji23]Kbs j2 watusamehe. Tunajua tunatoka nao jiji moja na hatutafurahia kuwafunga lkn hakuna namna#WeAreTheCityzens&Manchester is Blue[emoji41]
 
Iyo mechi mchezaji ambaye hata tupa matokeo ni ericksen maana saizi ndo uhai wa kiungo chetu.

Nadhani tutacheza mashambulizi ya kushitukiza tu maana kikosi bado akijazoea mfumo lazima tuta defense sana.
Sio hamjazoe ,uwezo wakucheza sex football hamna , kocha katumia £250m sijui bado timu inacheza kwa kuvizia , uzuri mpira haudanganyi ,huwez ukashinda kila siku kwa ujanja ujanja wa kukaa nyuma kuvizia kaunta

Hata Ole alianza hivo had akapewa mkataba mwisho mlimtimua kwa aibu

Moira una njia zake mpira wa ujanja ujanja unaweza kushinda mech 2 had 3 ,then unarud Default setting
 
Mkuu umepiga kwenye mshono

Nyumbu huu mwezi wa 10, hakuna tusi litaacha kutukanwa humu
 
Kazi mbili za EtH ni hizi:

1.Kuleta point 3 atleast kila mechi (iwe kwa structure au non structure)

2.Kutengeneza structure ya uchezaji (Hii lazima iendane na matokeo chanya ya mechi na sio excuse ya matokeo hasi)

Wakati utd anafikisha EPL 20 team nyingine zilikua wapi?Tunataka kuongeza vikombe 20 vingine.
 
Sex football arsenal mmekuwa mnacheza miaka na miaka mmefanya nini cha maana labda cheki timu kama atletico madrid na mpira wao lakini wanapata mafanikio.

Kuna kipindi mpaka arsenal mlikuwa mna fananishwa na Barcelona lakini mmewai fanya nini cha ajabu?
 
Wapuuzi hawa, Sexy Football inatakiwa iendane na matokeo pamoja na makombe.
Timu kama Barcelona ndio mfano wa kuigwa wa Sexy football, ila hawa Arsenyani wao wanacheza Prostitute Football ambapo wanaishia kuperformed sexual stunts uwanjani.
Tokea kipindi cha Wenger Arsenyani wanacheza vizuri kama Makahaba, wajitahidi kukata mauno vizuri uwanjani halafu mwisho wa siku wanaume wanaondoka na point 3.
 
Hakuna kocha wakutengeneza structure hapo, soon mtaanza kuimba mapambio humu afukuzwe
 
Tumekaa pale tunasubiri mapambio ,ya Ten hag OUT ,

Na wasiwasi huenda hata krismass mkamtimua
 
Kama rashford na martial hawatakiwepo sijaona mbwa mwingine wa kutusumbua ...maana nilikuwa nawaza counter attack za rashford ,toka yupo ole huyu kimbwengo alikuwa anatusumbua
Mimi kukufunga wewe siku hiyo ni lazima kama maraisi wa Afrika kupanda daladala msiba wa malkia, ushindi wako msimu huu wa papatu papatu
 
Mimi kukufunga wewe siku hiyo ni lazima kama maraisi wa Afrika kupanda daladala msiba wa malkia, ushindi wako msimu huu wa papatu papatu
Mzeee Kama rashford na martial hawapo ,unategemea kina Sancho ,baby yenu Ronaldo na Anthony [emoji23][emoji23][emoji23]Hawa ni forward butuu ,hawana effect kabisa
 
Eti kile kimbilikimo ndio kikamkabe haaland so masihara hàya...tutapiga asee hizi nyumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…