Manchester United (Red Devils) | Special Thread

endelea mkuu, hii ni nusu tu.
 
Kosa la ETH ni kutokuweka wazi kuhusu uwezo wa Maguire. Bado Wana mshika mkono
 
Duh hatari sana
 
I have derived my conclusions from those statements, none of the other of his statements negate my conclusion.
Ole alitoka kwenye vyombo vya habari na kumtetea Martial time to time
Source




Moja ya Criticism ya Ole ni kwamba alikua laini laini anawatetea sana wachezaji na watu wakataka awe mkali, hata humu jukwaani alikuwa anasemwa sana, then leo hii narrative imechange ghafla Ole hajawahi kumdefend Martial kwenye Vyombo vya habari? Unaliamini hili?

Ukisoma hio interview Talksport, Conclusion ya Martial ni kwamba alicheza na Majeruhi, Akapata Majeruhi na alivyorudi akashuka kwenye pecking order.

Vaa wewe viatu vya Ole mwanzo wa 2021/22 ungefanyaje?
 
Kuna sehemu OLE anadeclear kwamba Martial alikuwa anacheza na Majeruhi?

was it fair kuwadefend Martial na Marcus for Poor performance wakati Marcus hakuwa majeruhi na Martial alikuwa majeruhi?
 
Kuna sehemu OLE anadeclear kwamba Martial alikuwa anacheza na Majeruhi?

was it fair kuwadefend Martial na Marcus for Poor performance wakati Marcus hakuwa majeruhi na Martial alikuwa majeruhi?
Marcus Hakuwa majeruhi? Si amecheza Msimu mzima na majeruhi ya Mgongo/bega? Tena ilikuwa wazi kabisa majeruhi yake alikataa kufanyiwa operation akacheza Na Euro


Na mkuu ukisoma tu link ya kwanza niliyoweka Ole ana admit Martial anatakiwa kuwa rested ila anamchezesha sababu hana option.

Pia ukisikiliza Chambuzi za Mou kuhusu Tofauti ya World class players na wachezaji wa kawaida ni kwamba wachezaji wanaojielewa wanacheza Maumivu, Si Mou tu hata David Beckham kwenye interview moja alikuwa anasema ikifika katikati ya msimu kariboa kikosi kizima kilikuwa na Majeruhi.

Mpira ni mchezo wa kugusana, lazima kukanyagana na kupasuana ni kawaida, majeruhi mengine ni ya kawaida unapata maumivu unapona ila mengine ndio unakaa nje, na Si kila aina ya majeruhi lazima kocha atoke vyombo vya habari aseme, ni kuwafaidisha wapinzani wetu, hivyo alivyosema inatosha.
 
You have convinced me, Martial needs to shut up and play football.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…