Kwako wew ile unaona ni penati ya Haki kabisa, bila kusahau penati zetu za Haki tulizonyimwa bila kusahau Jana ten hag akiwa analamikia Ile penati aliyopewa real sociedad kumbuka mpira ulianza kugonga kwenye mguu wa Martinez ukafatia mkono, how possible was that a penalty.
Jitahidi kuongea facts maana siku zote kwenye ukweli uongo hujitenga, nyie lile goli lenu halikua la Haki kabisa sababu Erikson alichezewa faulo. So wew nijibu bila ushabiki ile kwa Martinez ni penati au sio penati bila kuweka mahaba.

Sawa, ila Mimi sikuona serious faul ya kukataa like goli cz ilikuwa very soft maana hakukanyaga SEMA kulikuwa na body contact ambyo ni very normal ktk football ,kamà Ericksen hàtaki kuguswa angecheza PS

Kwa kikosi hiki ushindi mtamu mtamu. Anton atapenda kuendeleza makali. Casamiro, Eriksen na Fred patamu sana hapo. CR7 atatoa onto kucheza Europa, kwamba siyo size yake. Maguire na Linderlof hope watakuwa makini leo.