Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,227
Na kweli wapo busy😂😂😂,wamelia jana😂,Eti Eliza amejua kuwawezaWanadai wako bize na Msiba wa Malkia😁
Tupo pamoja MkuuHebu keweni na adabu watu tupo msibani.
Na bado😂😂😂😂😂Nyie nyumbu mna lala mpka sshv mna raha gani View attachment 2350936
Ww binti una mdomo 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌Oh gari limewaka,we are back is football 😂😂
Back ya wapi nyie nyumbu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyu ni chuchunge mtakatifu.Ww binti una mdomo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Back ya mchongo😂Ww binti una mdomo 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
Wamewagonga kimoja tu🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyu ni chuchunge mtakatifu.
Ni anachamba mpaka firigisi zinapanda juu kwenye koromeo.
Umeangalia Jana mpira mwanzo mpaka mwishoWamewagonga kimoja tu🤣🤣🤣🤣
I'm vereee happy
Na nipo nacheck tena msrudioUmeangalia Jana mpira mwanzo mpaka mwisho
Kwako wew ile unaona ni penati ya Haki kabisa, bila kusahau penati zetu za Haki tulizonyimwa bila kusahau Jana ten hag akiwa analamikia Ile penati aliyopewa real sociedad kumbuka mpira ulianza kugonga kwenye mguu wa Martinez ukafatia mkono, how possible was that a penalty.Na nipo nacheck tena msrudio
Kwanini Mkuu?Yaani wewe hata papuchi sijui inafananaje. Sikuelewi
Simama juuu Imba salamu Maria umejaa neema🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tulia wewee...
Muosha huoshwa...nyingi mlibebwa hivihivi jumapili Ile mkapata ushindi wa mchongo Leo mnalalamika......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]goes around,comes aroundKwako wew ile unaona ni penati ya Haki kabisa, bila kusahau penati zetu za Haki tulizonyimwa bila kusahau Jana ten hag akiwa analamikia Ile penati aliyopewa real sociedad kumbuka mpira ulianza kugonga kwenye mguu wa Martinez ukafatia mkono, how possible was that a penalty.
Ni mpira, hakuna ajabu!Lakini mmegongwa[emoji1787]
[emoji38][emoji38] we jamaa bnaYaani wewe hata papuchi sijui inafananaje. Sikuelewi
Nini Mkuu, mtoto wa kike hata aibu Hana lol[emoji38][emoji38] we jamaa bna
Kasome alichoandika @painkiller kwenye uzi wenu kuhusu VVD.Kwanini Mkuu?