Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unadhani kocha anafurahia kumpanga Elanga? Hakuna anayejivunia kuwa na kikosi kama kile ila ndiyo wachezaji tulionao. Acheze nani sasa?
Fred, Elanga, Mctomy, Maguire, na Rashford wote hao chini ETH hawatokuwa na namba. Kocha anayajua matatizo ya man u ukiacha uongozi pia kuna wachezaji co wakuchezea timu kubwa kama utd, ni kweli ni wazuri ila co world class players, hawawezi pressure ya timu kubwa ndiyo maana unaona wanazingua. Hao level yao ni Arsenal, Tottenham, Aston villa na the likes of that.
 
Unadhani kocha anafurahia kumpanga Elanga? Hakuna anayejivunia kuwa na kikosi kama kile ila ndiyo wachezaji tulionao. Acheze nani sasa?
Mara Mia acheze Gernacho kuliko elanga.

Timu yetu kuna baadhi ya wachezaji ni very very average hawastahili kuchezea hata Norwich. MTU kama Elenga anarukaruka tu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
June 2023 wachezaji wafuatao watakuwa out of contract.

1.Rashford

2.Phil Jones

3.Fred

4.Ronaldo

5.Shaw

6.Diogo Dalot

7.Tom Heaton

8.De Gea

And to be honest mimi nitambakisha tu De Gea tena kuwa golikipa namba mbili na kwa mshahara wa chini..wengine wote ningefagilia mbali.

How about you?
 
Fred bado ana Kitu mguuni,,,, !!! Ni box to box mzuri,,, tatzo watu wanaomzunguka wanamuangusha anaonekana kiazi !!!!!

Muangalie akiwa timu ya Brazil utaona potential yake,,, ! Alafu Ni aina flani ya mchezaji ambaye anapambana mpk tone la mwisho,,,,

Hana record za majeruhi,,,,, sio mbaya akawa squad player !!
 
Timu nzima ya nyumbu INA magoli sawa na mitrovic peke ake si maajabu haya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…