Kamaliza kabisa,na bado kwa ronaldo tuAkutukanaye hakuchagulii tusi
__________
Erik ten Hag: "I think that doesn’t mean when you are captain you are established to play always, especially when you also have Varane in your squad."
Tuendelee kuunga mkono juhudi za EtH.Akutukanaye hakuchagulii tusi
__________
Erik ten Hag: "I think that doesn’t mean when you are captain you are established to play always, especially when you also have Varane in your squad."
Good..Akutukanaye hakuchagulii tusi
__________
Erik ten Hag: "I think that doesn’t mean when you are captain you are established to play always, especially when you also have Varane in your squad."
Martial anaumwa tenaMy lineup vs soton
Martial
Ericksen Bruno Sancho
Casemiro Fred
Malacia Martinez Varane dalot
De gea
Seems like partinership ya Casemiro na fred inaweza ku-work, fred ako na attributes za kukaba pia, team itakua more balanced, Ila hapa InAtegemea na approach ya mwalimu kulingana na aina ya mpinzani !!!!!!
#GGMU
Martial hatokuwepo as per EtH..My lineup vs soton
Martial
Ericksen Bruno Sancho
Casemiro Fred
Malacia Martinez Varane dalot
De gea
Seems like partinership ya Casemiro na fred inaweza ku-work, fred ako na attributes za kukaba pia, team itakua more balanced, Ila hapa InAtegemea na approach ya mwalimu kulingana na aina ya mpinzani !!!!!!
#GGMU
I am very sorry for Martial, his injuries have meant to frustrate his career.Martial hatokuwepo as per EtH..
Pamoja sana. Ila Man bado wachezaji kama watano hivi ili iweze kufikia kiwango. Kule mbele wingers wote bado mimi roho haijatulia. Sancho kwangu ni overrated. Rashford naye inategema ameamkaje. Martial siyo striker, siyo winger, sijui nimuweke wapi. Kwa kifupi tunahitaji wingers kama wawili, wale ambao wakiwa kwenye situation ya one vs one, au one vs two, wanaleta kizaazaa. Kama Saint-Maximin wa Newcastle alivyokuwa anawasumbua Man City mechi iliyopita.Wadau, niwatakie kila mmoja wetu moyo wa uvumilivu na furaha huku leo tukienda kushuhudia stage iliyofikia timu yetu katika mchakato wa mabadiliko unaondelea.
My expectations kwa mwaka huu ni kuqualify Champtions league kwa kuingia top four au kushinda Europa league, na kuingia either Quarter or semi finals za FA na Carabao.
Anything below this, will be a further downward trend, and anything beyond will be a surprise.
Otherwise, I wish my Club all the best.
GO GO Man Utd.
Leo makarani wa sensa wamekuja home huku wanachekacheka, nikawakaribisha ndani na kuwapatia vinywaji walainishe koo ili zoezi lianze.Siku nyingine tena ya furaha kila napopita hapa kitaa watu wana tabasamu tu[emoji3][emoji3]ok
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16]
Prediction
Southampton 1 Manchester united 2
[emoji355]8:30 mchana
GGMU[emoji83][emoji83]View attachment 2336031
Dahhh mashabiki wa nyumbu bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Leo makarani wa sensa wamekuja home huku wanachekacheka, nikawakaribisha ndani na kuwapatia vinywaji walainishe koo ili zoezi lianze.
Badala ya kuanza kuniuliza maswali namuona karani yuko na furaha kinyama ikabidi nimuulize kulikoni?
Akanijibu kwani we kaka haujui kua leo mchana Manchester United ipo uwanjani?
Nikamjibu nafahamu hilo ila muda huo si mtakua mnaendelea na zoezi la kukusanya takwimu?
Akanijibu kua Tume kwa kutambua uzito wa Manchester United Vishikwambi vyote vinavyotumika kwenye zoezi zima la sensa vimeunganishwa vitakua vinaonyesha mechi live hivyo muda wa mpira ukifika wameambiwa wapumzike waangalie timu kubwa zaidi duniani inavyotoa burudani kwa ulimwengu mzima bila ya kubagua dini, kabila, rangi wala jinsia.
Hapo ndio nikaamini yale maneno ya allypipi
"Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16]"
Poa, nyie si wanaume munaovaa suruali zenye zipu nyuma?!Kama haupo hapo kaa pembeni maana hao ndio wanaume balani ulaya ,wengine ni vigagula tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Top four kwa timu ipi?Wadau, niwatakie kila mmoja wetu moyo wa uvumilivu na furaha huku leo tukienda kushuhudia stage iliyofikia timu yetu katika mchakato wa mabadiliko unaondelea.
My expectations kwa mwaka huu ni kuqualify Champtions league kwa kuingia top four au kushinda Europa league, na kuingia either Quarter or semi finals za FA na Carabao.
Anything below this, will be a further downward trend, and anything beyond will be a surprise.
Otherwise, I wish my Club all the best.
GO GO Man Utd.
Mwana kuli findLeaked #mufc line-up:
De Gea;
Dalot, Varane, Martinez, Malacia; McTominay, Eriksen;
Sancho, Bruno, Elanga;
Rashford
[via IG/LeakedLineups]