Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yani ilo swala la dean adi mimi linaniumiza kichwa yan tumemtoa kwa mkopo alafu now tunaangaika kubembeleza watu watupe kipa japo kwa mkopo
Dogo shida hakutaka kuwa backup gk,na pia kaenda kule kaanza kuongea shit..

Hata edwin van de sir alichukuliwa kama backup ila aliyoyafanya kila mtu anajua,hata huyu wa newcasto naiman atakua poa.

Yaani sijui kwa nn nina imani na kila mchezaji anayependekezwa na ten hag.
 
Needless to say, FDJ nimemwangalia akiwa na Barcelona aise jamaa ni moto sana.

Ukipata nafasi mtizame utagundua kwanini EtH anamhitaji sana.

Nitaamini tumemkosa siku dirisha likifungwa.
Sawa ni mzuri,lakini hawa wachezaji wanaogoma kuja kisa hatupo uefa watakuja kutuzingua tu,ubishoo mwingi.

Tunahitaji mchezaji anayefosi kuja Man utd,mfano casemiro na Antony,yaani hawajali cha europa wala nn.

Kuna dogo yule wa PSV ,Cokpa sijui,eti anasema atafikiria kuja kama timu yake haitafuzu uefa,sasa wachezaj kama hawa wa nn.

Huyo de jong,kuna wachezaj wengi sana dizaini yake,basi tu Scout ya man u nadhan ina uvivu flan8 hivi,nenda serbia huko wachezaj kibao.
 
My starting XI vs Southampton kesho


===========

De Gea

Dalot Varane Martinez Malacia

Fred Casemiro Erisken

Rashford Fernandes Sancho

============

Casemiro ndani kama yupo fit.

Martial kaumia..Ronaldo should not be anywhere near first XI,mtu anatafutiwa timu ya kuondoka haiwezekani apangwe kwenye kikosi.

Acha Fernandes acheze false 9

GGMU
 
My starting XI vs Southampton kesho


===========

De Gea

Dalot Varane Martinez Malacia

Fernandes Casemiro Erisken

Rashford Martial Sancho

============

Casemiro ndani kama yupo fit.

GGMU
Hapo kati pawe

Casemiro Fred
vinginevo mtamkataa maana atafanya kazi ya kukaba mwenyewe wakati madrid alikua anasaidiwa na krosi
 
My starting XI vs Southampton kesho


===========

De Gea

Dalot Varane Martinez Malacia

Fernandes Casemiro Erisken

Rashford Martial Sancho

============

Casemiro ndani kama yupo fit.

GGMU
Martial tayari uko, injury
 
Timu pendwa Dunian sasa ndyo tumeanza ligi GGMU forever huyu casemiro ana assist akiwa bench
NB: cheltako arsenyeto laana fc city msilete timu uwanjani huyu sacho balloon dor yake
Ila jamani mashabiki wa yetu tunajua kutamba sio poa.
Timu tu ndio inazingua, vinginevyo wapinzani wasinge pata nafasi hata ya kujamba.
Kwanza msimu huu tuna uzi mkali kinoma, walah mtaani wangekua wananipiga kilasiku.
 
Ukubwa gani unao zungumzia we bata?
Mtu kila mwaka we ni msindikizaji tu, haujawahi kuchukua (UCL) hata mwaka mmoja, mwenzako me nishakua kama mala buku hivi na kitu.
Kama haupo hapo kaa pembeni maana hao ndio wanaume balani ulaya ,wengine ni vigagula tu
 
Naona Ajax hawataki kumuachia dogo cheki interview ya dogo hii.


Swahili

𝐄𝐗𝐂𝐋𝐔𝐒𝐈𝐕𝐄: Mahojiano ya Antony Kipekee: mahojiano na nyota wa Brazil Antony kuhusu mustakabali wake, Man United na zaidi
Je, mazungumzo ya uhamisho wako yanaendeleaje?
Antony: "Tangu Februari mwaka huu, mawakala wangu walikuja Amsterdam kuwafahamisha Ajax kuhusu nia yangu ya kuondoka kwenye klabu ili kukabiliana na changamoto mpya na kwamba baadhi ya vilabu vinavyovutiwa vingewasili na pamoja nao, bila shaka ofa nzuri".
Nini kilifanyika na Ajax?
Antony: "Mnamo Juni mwaka huu, nilikatiza likizo yangu na nilikuja binafsi kuwajulisha wasimamizi wa Ajax, akiwemo kocha mpya, kuhusu nia yangu ya kuondoka na kwamba wanapaswa kuzingatia uwezekano huu, kwa sababu ulikuwa mradi wa misimu 2" .
Antony, uliiambia nini klabu hivyo?
Antony: "Wakati wa miezi ya dirisha, vikao viliendelea na pia nilipokea pendekezo kutoka kwa Ajax la kuongezewa mkataba. Niliweka wazi kwa mara nyingine tena: NATAKA KUONDOKA".
Ni nini kimetokea leo, Ijumaa?
Antony: "Leo, katika mkutano na klabu, nilionyesha nia yangu ya zamani ya kuondoka - wakati huu nikiwa na ofa kubwa mezani. Wengine walikuwa tayari wamefika! Ajax walikataa kwa hoja kwamba wana siku 5 tu kuchukua nafasi yangu".
Kwa nini Ajax haitaki kukuacha uende?
Antony: "Siombi Ajax waniachilie, naiomba Ajax waniuzie kwa dau la juu zaidi kuwahi kumnunua mchezaji wa Eredivisie. Nimekuwa nikisisitiza mada hii tangu Februari ili klabu iweze kuijenga upya timu. amani ya akili".
Je, una maoni gani kuhusu klabu?
Antony: "Nilifurahi sana Amsterdam, nilishinda mataji nikiwa Ajax, nilifanya urafiki na kujenga sehemu ya kazi yangu, lakini sasa NINAIMARISHA kwamba niko tayari na nimejaa motisha ya kufuata hadithi yangu na ndoto zangu".
Nini msimamo wako kwa sasa?
Antony: "Watu wanahitaji kunisikiliza na kuelewa kwamba motisha yangu inanisukuma kuelekea furaha. Ninahitaji hii ili kuendelea kufanya kwa kiwango cha juu. Ajax daima itakuwa moyoni mwangu!".
Nini ujumbe wako kwa mashabiki wa Ajax?
Antony: "Natumai mashabiki wa Ajax watanielewa... kwa sababu mustakabali wa mchezaji wa soka ni jambo lisilo na uhakika kabisa na fursa zinaweza kuwa za kipekee!" "Ujumbe wangu ni wa shukrani kwa Ajax, klabu na mashabiki". @antony00
#manunited #mufc #
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…