Shida sasa ya United ni kuachia wachezaji ambao wapo kwenye timu kwa muda mrefu.Kwa mshahara wake, unapata makipa wazuri wawili na chenji inabaki.
Yupo binded na mkataba ila kiukweli wakala wake anamtafutia timu na yupo tayari kupunguza mshahara 30%. Timu nyingi hazipo tayari kuwekeza kwake kwa miaka 2.sasa anafuata fuata timu yetu ya nini?, si alisema anataka kuondoka, si aache kwenda mazoezi kama alivyofanya wakati wa preseason.
au kuna kitu sielewi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndani ya dakika 5 umeingia kwenye majukwaa yote matano ya Man Utd, Arsenyeto, Liverpunga, Chelyatima na Manshit na wote umewakandia kudadadeki.Nyumbu bana wanashinda mechi 1 wanafungwa mechi 6 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na bado watu wanashabikia hii maguire fc
Casemiro ataliweza dimba peke ake bila 8 ya kazi?Jumamosi hii Casemiro ndani.
Jumamosi ijayo Anthony ndani.
De Gea
Dalot Vanare Martinez Malacia
Casemiro
Bruno Eriksen
Anthony Martial Sancho
Team inaanza kuonekana....tunauhitaji wa RB na middle moja damu changa ya kumchallenge Ericksen na CF ya uhakikaJumamosi hii Casemiro ndani.
Jumamosi ijayo Anthony ndani.
De Gea
Dalot Vanare Martinez Malacia
Casemiro
Bruno Eriksen
Anthony Martial Sancho
Rizika na ulichonacho kwanza.Team inaanza kuonekana....tunauhitaji wa RB na middle moja damu changa ya kumchallenge Ericksen na CF ya uhakika
Nilikuwa nakuheshimu sana kumbe kichwani mwako empty kabisaTimu pendwa Dunian sasa ndyo tumeanza ligi GGMU forever huyu casemiro ana assist akiwa bench
NB: cheltako arsenyeto laana fc city msilete timu uwanjani huyu sacho balloon dor yake [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
History FCTimu pendwa Dunian sasa ndyo tumeanza ligi GGMU forever huyu casemiro ana assist akiwa bench
NB: cheltako arsenyeto laana fc city msilete timu uwanjani huyu sacho balloon dor yake [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Marseille waki-qualify UCL msimu ujao wanamnunua.Eric Bailly naye tumeshindwa kumuuza..hadi aende kwa mkopo..
Daah,United hii..wachezaji hawauziki