Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Asee hivi ndivyo tunataka

Mmeona sasa Malacia ni mtu zaidi ya shaw, Martinez nae anafanya shughuli ndio tunasema Ten Haag jivike mabomu tumia watu wako achana na waliofukuzisha makocha.

Ronaldo hizo ndizo dakika zake za kuingia kuwascare wapinzani


Leo nimekubali kocha kaja na mbinu. Aendelee hivyo hivyo ukiboroga benchi mpaka akili ikae sawia.

Ushindi safi.
 
Anakera sana, nusra atufungishe anyway naona ashaanza kugain confidence kocha aendelee kuweka benchi wanaozingua.

Bruno akiendelea hivyo wanae tu.

Jamaa aache kulialia bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…