Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndiyo apewe mkataba wa 4 + 1 years? Salary Β£300K pamoja na transfer fee ya €70M.


Ila kwa kile kiungo acha Casemiro aje tu lakini United kuna mahali wanafeli.
  1. Tatizo lenu kubwa ni DM na Casemiro ndie aliyesababisha utulivu pale Madrid kwa muda wote aliyokuwepo pale.
  2. Hata sasa Casemiro bado yuko kwenye form ile ile. Kumshawishi mchezaji kama Casemiro kutoka kwenye wining team na kuja kwenye timu iliyoparanganyika isiyo na UCL kama Man U lazima uje na ofa nzuri otherwise mtaendelea kubaki na basi lenu bovu.
  3. DM calibre ya Casemiro kuwapata kwenye soko ni nadra sana.
  4. Miaka hiyo minne ni transition, lazima management wamnunue successor wake ambaye atakua kupitia 2-3 yrs na ndio plan ilipo hapo technically.
  5. Sasa ninyi mnaenda kisiasa zaidi na hamtaweza kujua hayo mambo
 
Carlo ame-confirm casemiro ameomba kujaribu challenge mpya,,,kasema wanamtakia kila la kheri huko aendako,,,, !!!! Aje tu atusaidie maana hii timu imekua kituko ,,,"shamba la Bibi"

Now tupate RB, CF !

casemiro signing, any thoughts ???

Glory Glory Utd !!!
 
Ndiyo apewe mkataba wa 4 + 1 years? Salary Β£300K pamoja na transfer fee ya €70M.


Ila kwa kile kiungo acha Casemiro aje tu lakini United kuna mahali wanafeli.
Juventus walimnunua Cristiano Ronaldo mwaka 2018 akiwa na miaka 33 kwa ada ya euro 100M pamoja na kuwalipa Sporting CP na wakala wake euro 12M. Mshahara wake ulikuwa euro 120M ndani ya miaka minne yaani zaidi ya euro 30M kwa mwaka.

Kuna muda ili kurejesha imani ya baadae unahitaji wachezaji kwa namna yoyote ile ili kumaliza msimu vizuri. Unafikiri ndani misimu miwili ijayo tukimaliza nje ya top 4 itakuwa rahisi kuwashawishi wachezaji wazuri kujiunga nasi? McFred ni kituko kile, tulihitaji sana mtu mwenye akili timamu pale chini.
 
| Casemiro: 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 π†πŽ!

Manchester United are set to sign Casemiro on a permanent deal from Real Madrid, here we go!


Real Madrid have accepted Man Utd official bid for €60m fixed fee plus €10m add-ons, as expected.

Casemiro has full agreement on personal terms with Manchester United on a four year deal with option for further season.

Brazilian midfielder already said goodbye to all his teammates as he will fly to England and complete the medical tests during the weekend.

Casemiro won’t debut on Monday at Old Trafford as visa to be sorted, medical and contract signing will take some time.

How do you rate this signing from 1 to 10?
️
 
Chief jina lake tu lina arsenal kwa mbele, anasahau team yake, mikwara kibao kwa hizi game 2 ila mwisho wa siku EUROPA au nafasi ya tano au sita ipo pale pale
 
My rate is 8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…