Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tukupe ukocha mkuu maana unaona kama kazi rahisi.
kulikuwa na haja ya kuongea utumbo ? haya Ni maoni as a fun! huo utumbo wako unaongea hapa mara umeoteshwa , sijui dunia ina furaha kuna mtu alishawahi kukupinga??,,,mda mwingine ukiona huna Cha ku-comment u better leave, unajikuta Nani kwenye hili jukwaa? Au kwa vile huoni comment zetu Mara kwa Mara ?!!! just respect man !!
 
Swala la martinez kucheza DM wakati wame msajili kucheza beki mkuu uoni hapo umezingua.

Uyo ni beki.
 
Kama kuna kosa EtH anaweza kulifanya ni hili la kumbakisha David Degea. Ukimuangalia vizuri David kwa jicho la kiufundi utagundua ana mapungufu mengi sana except shot stopping. (350k/weekly - 1/3 ya huu mshahara tunaweza kumpata mbadala wake bila shida)

Pia kukazia EtH asifanye makosa mwakani wachezaji 10 (Degea, Heaton, Rashford, Shaw, Ronaldo, Fred, Chong, Tuanzebe, Dalot, Jones) wanaomaliza mikataba yao wanapaswa kuondoka regardless ya perfomance watayoweka msimu huu akifanya kosa la kumpa hata mmoja tu mkataba mpya atajutia sana maamuzi yake.
 


Me nmeanza kulia msiba mapemaaaaa, kabla mambo yakuwe mambo.

Oyaaaa leteni maturubai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…