Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Asubuhi ya leo nilikatiza kwenye viunga vya Mloganzila, kila ninaepishana nae anacheka, hata wale wangonjwa waliobebwa kwenye machela na wenyewe wanatabasamu ikabidi nimuulize daktari leo vipi mbona hii hali siielewi?
Dokta akanijibu kua kwa pale hospitali ni kawaida siku Manchester United itapokua inacheza watu wote hua na furaha, hata dawa za kupunguza maumivu siku hio hua hazitumiki sana.
Hapo ndio nikakumbuka ile kauli ya allypipi ya kwamba :-
"Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]"
 
allypipi sikufichi Leo draw au mnachezea 2-0


Ivan Toney na mbuemo
 
Leo Draw au Mnapigwa 2-0
 
munionee hurumaa jamani, ninewaamini kwenye kimkeka changu tafadhari.
UMELIWA

Ivan Toney has won more duels than any other player in the Premier League last season

25 games
219 duels won
111 aerial duels won

GW1 this season vs Leceister Toney won 9 duels

This man's physicality is something else

Today its him vs Martinez/Maguire
 
Mnisamehe lkn herndeson nilimuona bora zaid David
 
Mbolea sasa inanukia kuuzwa kwa Sir Jim Ratcliffe
The Glazer wameshindwa kazi kabisa na nadhani kuna shinikizo la chini kwa chini la kuiuza Man U
View attachment 2322904
Hana hela, amepoteza 2/3 ya utajiri wake ndani ya mwaka. Kifupi ngumu sana kuinunua UTD unless ziwe ni state money kama Man City ama kampuni kubwa.
 
Tukupe ukocha mkuu maana unaona kama kazi rahisi.
kulikuwa na haja ya kuongea utumbo ? haya Ni maoni as a fun! huo utumbo wako unaongea hapa mara umeoteshwa , sijui dunia ina furaha kuna mtu alishawahi kukupinga??,,,mda mwingine ukiona huna Cha ku-comment u better leave, unajikuta Nani kwenye hili jukwaa? Au kwa vile huoni comment zetu Mara kwa Mara ?!!! just respect man !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…