Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Its just the matter of time kabla ya moyes hajafukuzwa pale man u coz as timu ilivyo hawezi kufuzu uefa na hio ndio itakuwa sababu ya msingi ya yy kufukuzwa
Ukimchekea nyani kwenye shamba la mahindi, utavuna mabua.
jamani nina hasira tani 7 na nusu!huyu moyes ingekuwa pale jangwani wazee tungeshamtimua kwa bakora tukiongozwa na mzee akilimali!
jamani nina hasira tani 7 na nusu!huyu moyes ingekuwa pale jangwani wazee tungeshamtimua kwa bakora tukiongozwa na mzee akilimali!
David Moyes ni hand-picked successor wa Sir Alex Ferguson. Wa kumlaumu hapa ni Sir Alex kwani ni yeye aliyemchagua Moyes kurithi mikoba yake. Hakuna anayemkaribia Sir Alex kwa kuibua vipaji vya kabumbu. Hili halina ubishi, lakini nampa sifuri kwa uchaguzi wake wa makocha. Poleni sana wana-Man U.
jamani nina hasira tani 7 na nusu!huyu moyes ingekuwa pale jangwani wazee tungeshamtimua kwa bakora tukiongozwa na mzee akilimali!
dont wory hater moyes siku zake zinahesabika pale we angali mshaale wa saa tu.
Nahisi mungeanza kumvulia vibalaghashee kisha mungemfukuza kama Mchunga vile.jamani nina hasira tani 7 na nusu!huyu moyes ingekuwa pale jangwani wazee tungeshamtimua kwa bakora tukiongozwa na mzee akilimali!