Manchester United (Red Devils) | Special Thread

martial,rashford,elanga na Mctominay wote miyayusho
 
Man united inafeli kutokana na ubishoo wa wachezaji, kujiangusha hovyo na kupenda kulalamika kwa refa ndio kitu inayonifanya nisimkubali kiviiile Bruno Fernandez, na huu upuuzi tayari ameshawaambukiza wachezaji wengi wa United.
Timu imejaa umama sana na kupenda kudekezwa hovyo.
 
naona kichapo ni cha muhimu kuliko tungeshinda tungejiona tunaingia kwenye ligi tupo bora kumbe amna kitu.

Nilichokiona mbele kwenye ufungaji bado tuna legalega nadhani imetukosti kufatana na sancho kukosekana pale mbele.

Ila bado wakuu tunaitaji sana strike pale mbele.
 
Dunia kwasasa haina CF

Kina Nunez wanaootea msimu mmoja unauziwa €100m

Yule Abraham aliyefukuzwa pale Chelsea bila €80m humpati


Unamtaka CF GANI?

Cr7 anawasumbueni
 
Huo Ubishoo ndo unaponza kwakweli Fred,MCtomminay na hata Cr7 wajitafakari hasira zao wasubiri mpira uishe Fred kakanyaga mtu vbaya sana na Red card juu...Felix analijua goli vizuri achana na foward zetu zinavyofeli pamoja na yote ERICKSEN ni MASHINE acha ETH azibe Ufa kesho kikosi kinabadilika pakubwa ngoja tuone itavyokua....
FT 0-1 goli ambalo uwezi kumlaumu beki yoyote coz mwanzo walipata chance nyingi sanaaa wakazichezea..ATM deserve a win ....mara ya mwisho kuwafunga ATM wema alikua bado bikra[emoji706]
 
Benni McCarthy will become a first-team coach for #mufc.
He speaks four languages and has been working as a manager in South Africa’s top division at Cape Town City and Amazulu.

AndyMitten

____________
ukitajiwa jina la benny mcCarthy kwa mshabiki wa manchester united unavuta kumbukumhu zako kwenye mchezo wa UEFA dhidi ya FC PORTO mnamo mwaka 2004.
 
Ok ok alright alright [emoji106]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Tangu aondoke Van Persie pale OT hatujawahi kupata 9 ya kueleweka.
Na timu haijawahi kuwekeza pesa kutafuta mtu kwenye eneo hilo zaidi ya Lukaku.

Sikuona kama Lukaku alikuwa anafanikiwa Manchester United maana Lukaku hawezi kucheza timu zenye pressure kubwa.

Nafikiri kuibuka kwa Mason Greenwood kuliwaaminisha matajiri wa United kuwa huenda wamepata mtu wa kuitumikia nafasi hiyo kwa miaka kumi ijayo.

Nimeona tetesi za Benjamin Sesko nikiri sijawahi kumuona Sesko ila kwangu naona heri tungempata Lautaro Martinez au Rafael Leao kama hatumuoni Schick kama jibu la eneo hilo.
 
Jaman ndo kwaanza tuna mwezi mmoja na kocha mpya tunapanic hivyo,na wakat angalau after msimu mmoja ndo tuanze kuongea.

Tim bado inajengwa,na leo ni matokea tu ya friend mech,tuvute subira,tuna kocha mzuri tu.
 
wale mnaosema usajili unatosha tuonane baaada ya mechi ya brighton
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…