Saa saba mchanaHivi ni saa ngapi tunacheza mkuu
Sio saa 8 na dk 45 kweliSaa saba mchana
hiki ndo kikosi chake cha kwanza cha ligi
wanangu hamna kikosi
Mgonjwa mkuuSANCHO mbona simuoni
Tuna kikosi kipana sana hafu kesho tuna game nyingine OT kwaiyo kocha anataka kila mchezaji acheze kwa muda mrefu ili tuwe fit kuwavaa Brighton jumapili.wanangu hamna kikosi
Wenye akili watakau wamenielewa
Mwenye link ya game United tafadhali
Forward hamna kitu kwa timu zenye ulinzi licha ya kupewa penetration passes hawajaconverts chanceKipindi cha kwanza kimeisha 0-0
Ila dakika 45 za kwanza mpira tuliocheza ni kama tupo Carrington kwenye mazoezi, tusubiri kipindi cha pili tuone itakuaje ila kiukweli mechi haivutii kabisa.
Mbele hamna kitu kabisaaa foward zetu ubishoo mwingi sana, bila ya kusajili striker anaejielewa basi tuhesabie maumivu ligi ikianza.Forward hamna kitu kwa timu zenye ulinzi licha ya kupewa penetration passes hawajaconverts chance
Huwaga simpendi McTomminay kwa mafaulo yake na ubabe ubabe inatuweka hatari kulimwa red cardsHapa viliumana uhuni wa MCtominay siuelewag kabsaa ELANGA nae akiguswa kidogo anajirusha mita 150 ili apewe foul....Fred nae kaanza miyeyusho...Rashidi kidgo anaupiga mwingi,Martial uyu kiumbe kapewa nini?anapiga vzur sema anakosa ukatili mbele ya goli tu...Captain Maguire nyiee ni balaa leo...bruno kashalishwa bangi haelewi ata anachocheza ...naona Martinez,Eriksen wanaingia 2HALF ngoja tuone ila hii ni yetu kabsaa
HT 0-0View attachment 2308829