Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Most of players bado wanaamini Chelsea Ni klabu ndogo TU,
 
Sure, anazingua.
Huyu fala pamoja na kumtetea sana humu ila safari hii ameamua kutuvua nguo kabisa hadharani, hichi anachotuonyesha ni ubinfsi wa hali ya juu sana.
Alivyo na akili mbovu timu karibia zote hazimtaki halafu yeye anaamua kunyea kambi.
Binafsi nimeanza kumchukia na hata akiamua kubaki sidhani kama atapata sapoti kubwa kutoka kwa mashabiki.
 
Timu inapoingia kwenye project mpya hutakiwi kuwa na matarajio ya ubingwa.

Matarajio yangu mimi timu icheze kwa muunganiko mzuri na iwe na matokeo chanya tu.

Ubingwa utakuja tu tutakapokuwa na matokeo consistent hata kwa mechi 20 mfululizo.
 
timu haitaki kusajili yani wale watatu ndo wamefunga usajili jamaa umri umeenda anataka watu wamsaidie yeye kazi yale kutupia tu sasa mtamlazimisha kucheza Mctominay na rashford hata mimi nsingekubali ! tatizo la man u ni washabiki sio glazers
 
Sporting CP’s head coach Ruben Amorim is not thrilled with the idea of signing Cristiano Ronaldo.

The main worry would be how Ronaldo would change the dynamics of the current squad and his high salary.
(Source: @lauriewhitwell)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…