Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mufc are set to face National League side Wrexham in an additional pre-season friendly fixture at Carrington on Wednesday behind-closed-doors
 
Ronaldo tukijenga structure nzuri....I hope anaweza kutushagaza wengi tunaompinga.....mm kwa sasa kila kitu ETH anachokisema bc namuunga mkono coz nmetoamapendekezo mengi lkn bdo hatukufanya vzr.....so united fans naomba tutulie
Mwaka huu tutaona utofauti mkubwa
 
Wtf??..

What future?..

Yeye atafute timu aondoke..
Ni kujitafutia ukoo wa kambale tu, mtoto ndevu mkubwa ndevu. Asepe.

Alafu Ronaldo haoni kama anajiharibia. Hiu pre season imejenga picha flan kwa fans, so akiingia alfu tuboronge itakua mbaya kwake, unless ajiweke pembeni kwa limited game times na kuallow team play bila kelele.

Kuna timu za kuuza sura aka PSG akaweke history
 
£85M ni hela ya kawaida kwenye usajili wa sasa.

Jiulize CR7 alienda Madrid mwaka gani na kwa hela gani?

Msimu ujao hata £100M wataanza zizoea.
Point yangu ni kwamba Ten hag alisema hatoentertain big price signing. alikuwa anamaanisha bei gani?

Pili, hajapewa blank cheque, kapewa Badget, very limited ndio maana tunaona speed na namba ya wachezaji wanaosajiliwa na watakaoishia kusajiliwa, sasa unaoperate under such a limited budget, bado £85M inaendelea kuwa hela ya kawaida?

ukumbuke Man utd hii inahitaji kuwa overhauled? at least wachezaji saba wanapaswa kuwa replaced kwenye first timu yetu? tunaweza fanya hivyo kwa bei za namna hiyo?

kuna taarifa, wachezaji wote wamekatwa mishahara between 20-30%, maana ake hatuko vizuri kifedha, sasa inakuwaje tutoe hela ndefu namna hiyo?

Kama huku wachezaji wanakatwa mishahara tunamng'angania de jong wa nini wakati ishajulikana hayuko tayali kupunguzwa mshahara huko aliko? we want to make him the highest paid?

bei ya kwanza ya de jong ilikuwa pound 55, mi nilijua imeongezwa kufikia pound 85 sababu baca wameomba wapewe na hela ya kumlipa madeni yake, kumbe sio, sasa bei imepanda kwa msingi gani?
 
what kind of economics is this? manueconomics?
 
Hemu niambie kwa mfano Ronaldo angefanya improvement gani kwenye hii timu iliyokuwa pre season? guys Ronaldo's era is gone..
 
Eti anakaa na klabu kujadili mstakabali wake..hii ni dharau mchezaji ana mkataba bado mwaka mmoja alafu analeta ujinga. .atafute timu aondoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…