Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi nyie ndo mlimaliza na goal difference (GD) 0 last season eeh?🤔

Maana nilikuwa nishasahau!
 
Leo nimewaelewa wale wote ambao hawamtaki Ronaldo japokuwa bado Ronaldo siyo tatizo ila simuoni aki-fit kwenye mfumo kocha atakaotumia.
Tuliona mapema, tatizo ni moja tukiwa nae tukifocus kwake tu club as whole haifiki kokote maana nae yupo ukingoni.

Why tusiwekeze in future kwa madogo na walio kwenye vilele kisoka.

Ukitoa hao matakataka yanayofukuzisha makocha ambayo yamepunguzwa.
 

Mata kasepa mzeee
 
Leo nimewaelewa wale wote ambao hawamtaki Ronaldo japokuwa bado Ronaldo siyo tatizo ila simuoni aki-fit kwenye mfumo kocha atakaotumia.
Umewaelewa ambao hawamtaki Ronaldo. Lakini yeye siyo tatizo. Ingawa ha fit kwenye mfumo wa ETH.

YANI UMEANZA KWA KU SUPPORT POINT,UKAMTETEA HALAFU UKAMALIZA KWA KU PONDA[emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…