Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,359
- 5,151
Hivi Ndugu Yangu Tuongee Tu Ukweli...Hivi Ni Kweli Kabisa Hakuna Midfielders Wengine Wazuri Kama De Jong Au Walio Vizuri Zaidi Kuliko Yeye?... Midfielders Kama Sergej Milinkovic Savic, Youri Tielemans Na Ruben Neves Hivi Hawana Ubora Ambao De Jong Anao? Tena Usikute Wote Hawa Wanamzidi Jamaa...... Hivi Ni Majukumu Gani Hayo Ambayo ETH Anataka Kumpa De Jong Ambayo Mifano Ya Hao Watu Watatu Apo Hawawezi Kumuelewa, Kwa Akili Gani Walizokuwa Nazo??.... United Wanalazimisha Tu Hili Dili Na Barca Na ilhali Barca Hawako Tayari Kufanya Biashara Nao Kama Kweli Barca Wapo Serious Na Hili Dili Lingeshaishaga Kitambo... Na Pia De Jong Mwenyewe Priority Yake Ni Kuendelea Kubaki Pale...Hivi Vp Wakimsajili Then Akaja Kucheza Utumbo Pale United, Jumlisha Muda Waliopoteza Kuhangaika Na Usajili Wake Pamoja Na Ada Ya Uhamisho Wake Ambayo Bila Shaka Itakuwa €85M Huo Si Ndio Utakuwa Ubogus Wenyewe Sasa.....Kwenye Hili Suala United Is Just Getting Me Pissed Aisee!Wewe ni bogus kabisa. Samahani mkuu.
Kuna namna kocha anataka tucheze hivyo de jong ndio perfect kwenye mfumo huo kuliko hao viungo wengineHivi Ndugu Yangu Tuongee Tu Ukweli...Hivi Ni Kweli Kabisa Hakuna Midfielders Wengine Wazuri Kama De Jong Au Walio Vizuri Zaidi Kuliko Yeye?... Midfielders Kama Sergej Milinkovic Savic, Youri Tielemans Na Ruben Neves Hivi Hawana Ubora Ambao De Jong Anao? Tena Usikute Wote Hawa Wanamzidi Jamaa...... Hivi Ni Majukumu Gani Hayo Ambayo ETH Anataka Kumpa De Jong Ambayo Mifano Ya Hao Watu Watatu Apo Hawawezi Kumuelewa, Kwa Akili Gani Walizokuwa Nazo??.... United Wanalazimisha Tu Hili Dili Na Barca Na ilhali Barca Hawako Tayari Kufanya Biashara Nao Kama Kweli Barca Wapo Serious Na Hili Dili Lingeshaishaga Kitambo... Na Pia De Jong Mwenyewe Priority Yake Ni Kuendelea Kubaki Pale...Hivi Vp Wakimsajili Then Akaja Kucheza Utumbo Pale United, Jumlisha Muda Waliopoteza Kuhangaika Na Usajili Wake Pamoja Na Ada Ya Uhamisho Wake Ambayo Bila Shaka Itakuwa €85M Huo Si Ndio Utakuwa Ubogus Wenyewe Sasa.....Kwenye Hili Suala United Is Just Getting Me Pissed Aisee!
Tunataka kombe hilo.Mbona kama tupo serious na mechi hafu Liverpool kapanga kawaida tu.View attachment 2287941
Shida iko wapi?..
Kwamba makocha wote wamekosa namna ya kubadili....naona kama n mfumo mbovu haujatusidia kwa muda mrefuShida iko wapi?..
Hakuna viungo sasa atafanyajeKwamba makocha wote wamekosa namna ya kubadili....naona kama n mfumo mbovu haujatusidia kwa muda mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpool wameamua kutudharau kabisa.Mnahesabu lakini??? 3 izo
Kocha mwenyewe hacheki chekiTulizani ni mazoezi kumbe kuna watu wamekuja kama wanacheza fainali
Kuna kitu hujaelewa mkuu, ni hivi, Barcelona kwa hali ya kiuchumi waliyonayo hawawezi kumu afford de jong na kama atabaki msimu ujao watafilisika kabisa na wakikatisha mkataba pia watafilisika kwasababu watatakiwa kumlipa pesa nyingi, so jamaa anazichanga karata zake vzr apate mpunga wake kwanza alafu ndiyo amalizane na utd, kwa hali ilivyo sasa pale Barca ni ngumu wachezaji wakubwa kariba ya de jong kustahimili, sasa Barca wanataka kupata ahueni kwa gharama za utd ambapo utd nao wana delay makusudi ili wasilipe mzigo unaotakiwa kulipwa na mtu mwingine.Mtu Kama Lisandro Martinez Tunapata Taarifa Kwamba Anafosi Mabosi Zake Wakubali Dili Na United Aweze Kuja, Mchezaji Anaitaka Timu.... Lakini Sio De Jong Na Kasharipotiwa Mara Kadhaa Kuwa Hana Mpango Wa Kuondoka Pale Bado Anapenda Kubaki Pale Bado Anapataka Pale Lakini Bado Mamtu Yana Mng'ang'ania, DILI LA KISHOGA...FUUUCK!!