Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sorry lad, if you are fed up, you may quit supporting the team....

David is here to stay....

Mpotezee tu huyo, mashabiki maandazi wapo wengi. Hii sio kama simba na yanga kubadili badili makocha ovyo ovyo. Sir Alex alikaa miaka saba ndipo akashinda ligi kuu.
 
Sorry lad, if you are fed up, you may quit supporting the team....

David is here to stay....

Mkuu nimetoka mbali na Man U, siwezi kuiacha leo! Moyes katoka Everton, kocha mpya kaingia pale angalia wanavyocheza Everton, mpira mzuri zaidi kuliko alipokuwa Moyes. Mkuu angalia vizuri, hata msimamo wa ligi Everton wapo juu.
 
tatizo kubwa la man utd haina attacking midfielder ambae anaweza kupiga penetration passes, mara zote man utd wamekua wakitegemea wingers ambapo zinapobanwa kisawasawa hakuna plan b, haya pia yamejidhihirisha juzi kwenye match na tottenham, tunahitaji central attacking midfielder kama tunataka tubaki top fours
 
Mpotezee tu huyo, mashabiki maandazi wapo wengi. Hii sio kama simba na yanga kubadili badili makocha ovyo ovyo. Sir Alex alikaa miaka saba ndipo akashinda ligi kuu.

Sidhani kama unaijua Man U kuliko mimi, anyway nikiwa andazi sijui wewe nani?

Everton wenyewe wanafurahi kuondoka kwa Moyes, kwamba sasa wanaweza hata kufuzu kucheza CPL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…