Msimu uliopita ss tulisajili vizur kuliko city Ronaldo,sancho, varane lakn wapKwa dirisha hili la usajili linavyoenda naona msimu ujao utakuwa wa mateso vilevile..City wataendelea kutuswaga kama mang'ombe..Alvarez,Haaland,Kelvin Philips wote ndani na ni bingwa mtetezi huyo.
Lakin Bado atafungwa na crystal palaceKwa dirisha hili la usajili linavyoenda naona msimu ujao utakuwa wa mateso vilevile..City wataendelea kutuswaga kama mang'ombe..Alvarez,Haaland,Kelvin Philips wote ndani na ni bingwa mtetezi huyo.
Lakini EPL na UCL semi final zinakuwa securedLakin Bado atafungwa na crystal palace
Ila Bado UCL final hatafikaLakini EPL na UCL semi final zinakuwa secured
[emoji23][emoji23]Ile siku imewadia nimeamka asubuhi napita mitaa ya kariakoo naona watu wanalia sana[emoji26] mpaka wengine wanagalagala chini.
Nikajiuliza kuna nini leo nikaona nimuulize mmoja wao hakasema hatulii sababu tuna uzuni tunalia sababu tuna furaha[emoji28] iliyopitiliza bado nikaona jibu lake halija ni furahisha nikabidi nimuulize mwingine kuna nini leo akanambia huku akilia sana kwa machozi ya furaha[emoji28]
Timu kipenzi cha watu timu ya dunia timu yenye ipo mioyoni mwa watu timu watu wasipoiona uwanjani wanakosa amani ipo uwanjani leo hakamalizia kwa kusema.
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16][emoji16]
Prediction
Manchester 4 vs Liverpool 2.
View attachment 2287702View attachment 2287703
Relax it's just a preseason wewe dogo..Kwa hii man u legelege Kama utumbo wa konokono mkuifunga Liverpool mniete mbwa Niko pale nimekaa
Dont believe in obviousKwa hii man u legelege Kama utumbo wa konokono mkuifunga Liverpool mniete mbwa Niko pale nimekaa
Man u ni ile ile kilichobadilika ni jersey tu ..Dont believe in obvious
Hata Thomas Tuchel aliikuta chelsea ile ile akaibadili mpaka ikachukua uefa,trust the processMan u ni ile ile kilichobadilika ni jersey tu ..
Maguire ,rashford ,degea ,Sancho ,AwB,[emoji23]wale wote waliopigwa misumari ya moto 9 ndio hao hao
Wewe ni bogus kabisa. Samahani mkuu.Mtu Kama Lisandro Martinez Tunapata Taarifa Kwamba Anafosi Mabosi Zake Wakubali Dili Na United Aweze Kuja, Mchezaji Anaitaka Timu.... Lakini Sio De Jong Na Kasharipotiwa Mara Kadhaa Kuwa Hana Mpango Wa Kuondoka Pale Bado Anapenda Kubaki Pale Bado Anapataka Pale Lakini Bado Mamtu Yana Mng'ang'ania, DILI LA KISHOGA...FUUUCK!!
hata YouTube unaipata tu mkuu hizi mechi azina masharti upatikanaji wake.Dstv pia wanarusha hii game,ss223 na startimes kupitia MUTV......kuanzia saa 9 jioni
Bando bandohata YouTube unaipata tu mkuu hizi mechi azina masharti upatikanaji wake.
EtH mbona kaeleza vizuri tu lazima awajue wachezaji wake wote. Captain anachaguliwa kutokana na vigezo sisi wotr hatujui hawa wachezaji wana tabia gani huko mazoezini kwenye dressing room tunachoona ni wakiwa uwanjani tu na lifestyle yao mitandaoni.ETH naye ameanza mambo ya kidaku.. Maguire ameachive success ipi
Nimekuelewa vema MkuuEtH mbona kaeleza vizuri tu lazima awajue wachezaji wake wote. Captain anachaguliwa kutokana na vigezo sisi wotr hatujui hawa wachezaji wana tabia gani huko mazoezini kwenye dressing room tunachoona ni wakiwa uwanjani tu na lifestyle yao mitandaoni.
Pia kubadili Captain ghafla tu ingeweza kugawa timu pia ingemshusha zaidi Maguire ambaye anatukanwa sana. Kocha anajua kulinda wachezaji wake.
Mkiruhusu goli mnapiga kwanza push-ups [emoji23] jamaa mkali sana kwenye kazi ila pia anajenga mahusiano mazuri na wachezaji wake.Sema wakuu huyu ETH yupo serious sana, nafatilia mazoezi ya pre season the way ana demand, anaelekeza n.k akipata right players atatusogeza sehemu naamini