Ni Lukaku mweupe sio?One Season wonder Kwa pesa Ile.... N Kwa clip moja niliiyoiona control na first touch mbovu vile....overrated!
Wakati Mbape anasajiliwa na PSG kutoka monaco alikua ameshine season ngapi as world beater? Even salah you guys called him one season wonder.One Season wonder Kwa pesa Ile.... N Kwa clip moja niliiyoiona control na first touch mbovu vile....overrated!
Kufanya biashara na Levy inahitaji moyo.Hivi Kwanini Manchester United Tusimsajili Huyu Jamaa Atusaidie Kule Mbele Na Ronaldo.View attachment 2257653
Unafikili son anaweza kuacha kucheza uefa aje kwenye manyang'ao wanaoenda kucheza na spakitakomosiko ,furakifuti ,renjazii,sijui selitiki huko uropaHivi Kwanini Manchester United Tusimsajili Huyu Jamaa Atusaidie Kule Mbele Na Ronaldo.View attachment 2257653
DIAZ + NUNEZ + SALAH kwa wale mabeki wenu walevi wa gongo, Tunakuja kuwafanyia matusi mengine Old traford.
Kinachowasumbua hawa bado wanajiona wapo Top kama enzi za Babu yao Ferguson na yule refa wao Howard Webb, Hivi sasa hawana soko tena, hawana mvuto tena kwa wachezaji sasa hivi hata Newcastle ana battle nao vizuri tu kwenye usajili na mchezaji anachukua.Unafikili son anaweza kuacha kucheza uefa aje kwenye manyang'ao wanaoenda kucheza na spakitakomosiko ,furakifuti ,renjazii,sijui selitiki huko uropa
Acha upimbi basi
Hata hivyo alisha sema haipendi United,hawezi kufanya huo upumbavu.Unafikili son anaweza kuacha kucheza uefa aje kwenye manyang'ao wanaoenda kucheza na spakitakomosiko ,furakifuti ,renjazii,sijui selitiki huko uropa
Acha upimbi basi
Siyo kweli. Sema United Kutokuwa kwenye mashindano ya UCL kunapunguza mvuto maana wachezaji wengi wana hitaji kucheza kwenye mashindano hayo. Same kwa Gunnerz,Wachezaji wanawatosa sababu hiyo.Kinachowasumbua hawa bado wanajiona wapo Top kama enzi za Babu yao Ferguson na yule refa wao Howard Webb, Hivi sasa hawana soko tena, hawana mvuto tena kwa wachezaji sasa hivi hata Newcastle ana battle nao vizuri tu kwenye usajili na mchezaji anachukua.
Tena walevi wa bia za bureee.walev Tena mkuu
Ana mkataba mrefu halafu ukigusa tu hapo siyo chini ya £100M kwa mchezaji mwenye miaka 30.Hivi Kwanini Manchester United Tusimsajili Huyu Jamaa Atusaidie Kule Mbele Na Ronaldo.View attachment 2257653
South American mmmmh
Joao Felix ni mchezaji mkubwa sana siyo kama kile kizazi cha Ajax ya 2019.anaweza kuendeleza moto wake wa kufunga magoli kwa msimu mwengine au pia ikawa kinyume chake. tufahamu darwin nunez ni msimu huu tu amekuwa bora. pia unadeal na benfica. wazee wa kuuza wachezaji wanaotrend kwa bei kubwa kama walivyofanya kwa joao felix.
Patrick SchickSiyo complete package ila bado ana muda mwingi wa ku-improve, chini ya Klopp anaweza kugeuka beast. Price yake na alichofanya haviendani lakini ndiyo soko limeshabadilika, naamini kama siyo Liverpool dogo angekuja United. Kama tutamsajili Antony sioni haja ya kusajili striker msimu huu kwasababu hatutapata top quality, wengi wanajua namba wanayokuja kupambania na Ronaldo hawatapata muda wa kutosha so ni heri tuanze msimu na Ronaldo / Rashford, Sancho na Antony kama wingers hiyo pesa ambayo tungetumia kwa Nunez iwekwe kwenye maeneo ya msingi hasa defense maana tayari midfield inazingatiwa.
Balaa jingine hilison + kane + kulusevski + richarlison = antonio conte
Kwanini United wasimasajili Bernado Silva ?son + kane + kulusevski + richarlison = antonio conte
Af Wewe Bhn Alikuja Di Maria Man United Na Wala Haishiriki Uefa Wala Europa Ndo Itakuwa Son?!, Hana Msuli Wa Kuikataa Man United Huyo Son Kama Kweli Itokee United Wamemfikia Na Iwe Ndo Timu Pekee Kubwa Inayohitaji Saini Yake.Unafikili son anaweza kuacha kucheza uefa aje kwenye manyang'ao wanaoenda kucheza na spakitakomosiko ,furakifuti ,renjazii,sijui selitiki huko uropa
Acha upimbi basi
Ni swala la muda tu ,ila hii man utd inaenda kuharibikiwa na hakuna mchezaji yeyote star anayewaza kufika mbali anaweza sogeza mkono wake na pen kutia Saini kwa hii timuAf Wewe Bhn Alikuja Di Maria Man United Na Wala Haishiriki Uefa Wala Europa Ndo Itakuwa Son?!, Hana Msuli Wa Kuikataa Man United Huyo Son Kama Kweli Itokee United Wamemfikia Na Iwe Ndo Timu Pekee Kubwa Inayohitaji Saini Yake.
Sawa, ila Pia Ni Suala La Muda Tu Kwa United Kurudi Kwenye Ubora Kama Zamani Hakuna Kinachoshindikana....Mambo Huenda Na Kubadilika Kama Leo Hii AC Millan Wamerudisha Ufalme Wao Serie A Baada Ya Kipindi Kirefu Kupita...Hata Kwa United Pia Ni Jambo Linalowezekana Kutokea, Af Hakuna Asiyejua Kama Ronaldo Anamalizia Mpira Wake Pale United We Ulitaka Aje Amalizie Etihad?? Apo Etihad Hakuna Kipya Mngeweza Kumu Offer Ambacho Hajakipata Man United Pindi Alipokuwa Anacheza Wakati Ule Na Huko Madrid Na Juve Alikocheza Pia.Ni swala la muda tu ,ila hii man utd inaenda kuharibikiwa na hakuna mchezaji yeyote star anayewaza kufika mbali anaweza sogeza mkono wake na pen kutia Saini kwa hii timuwalahi naapia kwa mwenyezi Mungu hakuna ....hata huyo Ronaldo kaja kula pension tu na ulegend+ mashabiki wanaomkubali kwani anaelekea ukingoni ...!