Kaka nakuelewa vzrYani nafsi yangu ina mkataa kabisa de jong naona ni mwepesi mno kwa soka la England mimi naona tunaitaji DM mmoja wa nguvu kama ruben neves wa Wolverhampton
Siku zote timu yenye kiungo katili ndio upata matokeo mazuri uwezi kuwa na kiungo chepesi chepesi utegemee matokeo.
Kiufupi tunaitaji DM mfano wa roy keane,makelele,Patrick viera,yaya toure,casemiro, yani tunaitaji DM yetu ashike mtu katili kweli kweli.
hafu tuache wakina fred, Fernandez,wajiachie kwa juu. Matic alikuwa anaiweza hii kazi ya kiungo katili sasa nae umri ushaenda kiwango kimeisha saizi.
Nukuu kutoka kwa Erik ten Hag.Yani nafsi yangu ina mkataa kabisa de jong naona ni mwepesi mno kwa soka la England mimi naona tunaitaji DM mmoja wa nguvu kama ruben neves wa Wolverhampton
Siku zote timu yenye kiungo katili ndio upata matokeo mazuri uwezi kuwa na kiungo chepesi chepesi utegemee matokeo.
Kiufupi tunaitaji DM mfano wa roy keane,makelele,Patrick viera,yaya toure,casemiro, yani tunaitaji DM yetu ashike mtu katili kweli kweli.
hafu tuache wakina fred, Fernandez,wajiachie kwa juu. Matic alikuwa anaiweza hii kazi ya kiungo katili sasa nae umri ushaenda kiwango kimeisha saizi.
Kwangu naona fred akicheza juu ni mzuri kuliko de jong maana nimeliona ilo mara nyingi fred hakipanda juu.Nukuu kutoka kwa Erik ten Hag.
Can you play Frenkie de Jong as a lone #6?
Erik Ten Hag in 2019: "No! He leaves the middle of the pitch too often for that. And if you don’t give him the freedom to go forward, you won’t get the best out of his game. Playing Frenkie as a lone ‘6’ (DM) would be a waste.”
United lazima watasijili DM wa kufanya kazi chafu, waliopo hawatoshi kufanya hiyo kazi. de Jong ni mchezaji muhimu sana kuja kuboresha midfield yetu kuliko mnavyofikiria. EtH ni muumini wa 4-3-3 anajua anachokifanya vizuri sana.
hapo naweza kubaliana na kocha yani timu yoyote inaitaji kiungo wa kazi chafu tuna mactoo ndo kiungo wa hizi kazi pale ila ni mwepesi sana yani naona ruben neves hii kazi anaiweza sana toka kastafu carick kiungo chetu kimepwaya sana.Nukuu kutoka kwa Erik ten Hag.
Can you play Frenkie de Jong as a lone #6?
Erik Ten Hag in 2019: "No! He leaves the middle of the pitch too often for that. And if you don’t give him the freedom to go forward, you won’t get the best out of his game. Playing Frenkie as a lone ‘6’ (DM) would be a waste.”
United lazima watasijili DM wa kufanya kazi chafu, waliopo hawatoshi kufanya hiyo kazi. de Jong ni mchezaji muhimu sana kuja kuboresha midfield yetu kuliko mnavyofikiria. EtH ni muumini wa 4-3-3 anajua anachokifanya vizuri sana.
Mzee amini psychologically hauko sawaThe biggest achievement of Ronaldo last season was to win player of the month.
Very sad🤣🤣
True..Kwangu naona fred akicheza juu ni mzuri kuliko de jong maana nimeliona ilo mara nyingi fred hakipanda juu.
Unatia aibu na kingereza chako cha hovyo.Manchester united signed Ronaldo think they were going to win champion league and then ended to play Uropa league next season.