Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nan mchezaji aje kucheza Europa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji53]mtaendelea na hao hao kina Maguire kudadekiiiiii
 
Timu lenyewe linaenda kucheza Europa Bado Kuna watu wamekaza fuvu eti Kuna wachezaji wakubwa wanaweza kuja kusign deal Hilo [emoji53][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hata de jong hawezi acha team yake inayoenda kucheza uefa eti aje kuteseka Europa [emoji28]
 
Aina ya football anayopendelea Ten Hag inamfavour sana Rashford na Sancho.

Imagine a lazy player kama Ziyech alikuwa wa moto sembuse Rashford ?
Mkuu mie naona EtH anapenda technically gifted players wenye work rate kubwa lakini ukiangalia Rashford zaidi ya mbio sioni kingine hapo.
Nahisi atamtema jumla au asiwe starter.
 
Mkuu mie naona EtH anapenda technically gifted players wenye work rate kubwa lakini ukiangalia Rashford zaidi ya mbio sioni kingine hapo.
Nahisi atamtema jumla au asiwe starter.
Matendo na maneno ni tofauti.

ETH atawatema wengi sana.

Ukiacha walioondoka, waliobaki hawana uhakika wa kucheza moja kwa moja.
 
Top assist in UCL 2022 Bruno Fernandez.
Thus why ETH anasema still there is potential in this squand....ngoja tusubri nn kinafata next season
 

Attachments

  • FT4KbnrUEAEIMJY.jpeg
    30.1 KB · Views: 37
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…