Daah kweli dunia hakuna usawa, leo hii mashabiki wa Mwantesa wanashangulia Westham kufungwa ππ kweli mko hoi, sasa huko Europe Sijui mnaenda kufanya nn
Mimi kama jirani yenu nawaonea huruma sana, mna shida kubwa sana nyumbu.
Nyie sio wa kwenda Europa League kwa mbeleko, yaani West afungwe nyie ndio muende.
Hizi mbuzi zina nickname nyingi sana unajichagulia tu mwenyewe unayojisikia kuwaita.
AsaniAli, AsaniWali, AsaniMbuzi, AsaniBata na siku wakikukera sana unawaita AssAnal.