Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mimi nasema na narudia tusinge droo na kufungwa mechi mbili tatu na timu zisizokuwa na mbele Wala nyuma tungekuwa na Afya kwenye msimamo.

Pana wachezaji walituangusha sana
 
Advantage mliyo nayo United ni kwamba mmepumzika almost wiki mbili kabla ya kukutana na Palace ambao watakua wamepumzika siku mbili kabla ya kukutana na nyinyi.
Utakuwa na unauelewa mdogo sana wa masuala ya mpira na michezo kwa ujumla. Si kwa ubaya hufahamu unachokizungumza.

Mchezo wowote ule wa ushindani kadri unavyozidi kukaa muda mrefu bila kucheza mchezo wa ushindani unakuwa ktk mazingira hatari zaidi.

Ukiwa unafanya training kila siku na wachezaji wale wale mnakuwa na maelekezo yale yale ya aina moja. Ni tofauti kabisa ukicheza na watu wenye maelekezo tofauti na wewe (timu pinzani). Kuna ssb kwa nn kila wiki unapaswa kucheza mechi na sio baada ya wiki 2.
 
Na hii ndiyo sababu ya bench kuzoofisha kiwango cha mchezaji.
 
Daah ndo tunaenda pata furaha ya mwisho wiki hii ndo itakuwa basi mpaka msimu ujao[emoji26][emoji26]
Usijali sana mwaka huu hatuishi kiunyonge, muda mfupi tu baada EPL kuisha unaanza mchaka mchaka wa World Cup, kama kawaida tunaendelea kuwaona kina Maguire.
Mpaka kombe la dunia linaisha ligi kuu nayo inakua imekaribia kuanza.
 
Usijali sana mwaka huu hatuishi kiunyonge, muda mfupi tu baada EPL kuisha unaanza mchaka mchaka wa World Cup, kama kawaida tunaendelea kuwaona kina Maguire.
Mpaka kombe la dunia linaisha ligi kuu nayo inakua imekaribia kuanza.
Jombaa WC mwaka huu ipo mwezi wa 12.
 
Aje haraka sana. Tuanze mipango.
Mbona ameshaanza mipango?

Cha kwanza ni kuandaa staff atakaofanya nao kazi. Na tayari wameshapatikana.

Cha pili ni kufanya analysis ya current squad na hao new staffs na kutambua nani aondoke na nani abaki.

Cha tatu ni kuangalia nani asajiliwe.

Cha nne ni kwenda likizo, then by june 20 pre season inaanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…