Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Maku wewe....na kama kama kamstari kako ka mwisho hapo kwenye huo upuuzi wako ulioandika, nisingekuelewa...hapa nilipo namuona F..F CK kila kamera ikimuonesha anaongea na kale kamexico kake kasaidizi.

Timu inahitaji kemistri, mata anahangaika, matic anajitajidi na uzee wao wote na Fernandez, Elanga, maktombi, wanawasababishia beki izidiwe kwa kuendelea kufanya makosa yao.

Somebody in the MD isn't doing his job. Wing haifanyi kazi yake. Elanga na mwenzie wanazidiwa they don't use them Head

Hapa unataka uniambie kocha acheke tu, aweke sigga kwenye papuchi.. don't be silly, manager can't be like that, the same stupid thing ole anatetea ujinga, Moriinho alisema upuuzi kwenye timu Kwa sabb ya watu flan, huyu jamaa pale PSG anazidiwa Kwa sabb ya upuuz huohuo,

At least tuone Fred aongeze nguvu katikati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…