Laki yangu inapumua,ngoja niongeze Mdudu Nusu Kilo na KVant kubwa,walipewa Odd ya 1.78 nikaona kuweka Laki nikala 167,000 baada ya Kodi si haba,naomba nipate hako ka 60,000 walau kesho Eid iwe safi japo hawa wahuni hawatabiriki
Manchester hata wkishinda game 2 zilizobaki (which I doubt they will) basi wataishia hiyohiyo nafasi ya 6. Europa ileeeeee. Watapata tabu sana hawa mwakani
Uongozi mzima wa Uefa unalalamika kua Man United asiposhiriki mashindano ya Uefa hua yanapoa sana.
Kuna uwezekano viongozi wakapiga kura ya turufu clab 6 za Epl ziruhusiwe kushiriki Uefa msimu ujao.