Mawematatu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 468
- 608
Haina kichwa Wala mkia. Yaani kama ni mnyama angeitwa dudu.Comment nzima inaelezea ina apply wapi
matakataka arse8 nayo yamepata ujasiri wa kupita kwenye majukwaa Kama haya ya timu kubwa Kama hizi Manchester, Chelsea,Liver kuuliza maswali Kama haya ya kikumbavu..
Sawa endeleeni kujifarijiSubiri Pep aondoke ndio utajua hujui. Pep ni lamaya, hakai nyumba moja.atasepa kizungu wanasema wait and see.. wazungu bana wakaendelea kusema, ..we don't give a shit...man city akipata au kukosa. We just f..KY a monster Liverpool some days
R I p Mino super agentSawa endeleeni kujifariji
Wewe si uliambiwa uache prediction na nyumbu wenzio?Kosi la dunia on the stage.
hii ndo game yetu ya mwisho OT msimu huu.
Prediction Manchester united 3 Brentford 1View attachment 2208997
Hahaaaa Kuna Toney ana goli 12 , Kuna mbuemo halafu Kuna Eriksen ,Man U Man U Man U ninawaita mara tatu mazwazwa nyinyi nimewapa WIN kwenye Mkeka wangu,Laki Moja yangu ipo rehani,ole wenu mfungwe vibwengo nyie
😅😅 mpk 2025 tutakua tumenyookaWatu wengi wanaangalia mambo kiurahisi rahisi sana. Kama bodi iko tayari kula hasara itatuchuka miaka miwili kusafisha timu nzima kinyume na hapo itatuchukua miaka 4.
Wanaomaliza mkataba mwaka huu: Pogba, Lingard, Lee Grant, Cavani, Mata, Chong
Wanaomaliza mwakani, 2023: Fred, Shaw, Rashford, Dalot, Degea, Ronaldo, Jones, Heaton,Matic
Wanaomaliza, 2024: Martial, Bissaka, Lindelof, Bailly, Telles
Wanaomaliza, 2025 : Amad, Van De Beek, Maguire, Varane, McTominay, Henderson, Greenwood
Wanaomaliza, 2026: Bruno, Sancho, Elanga
Hiyo ela bora ungekunywa biaMan U Man U Man U ninawaita mara tatu mazwazwa nyinyi nimewapa WIN kwenye Mkeka wangu,Laki Moja yangu ipo rehani,ole wenu mfungwe vibwengo nyie
Kumbe ukiwa kwenye serious mode unatukubali aiseeMan U Man U Man U ninawaita mara tatu mazwazwa nyinyi nimewapa WIN kwenye Mkeka wangu,Laki Moja yangu ipo rehani,ole wenu mfungwe vibwengo nyie
Unajikuta nani vile?Kwa kikosi cha leo hii timu haitaweza kufanya high line pressing.