Mkuu suala la kukaba Kipindi cha Ole lilikuwa fixed, as of Msimu uliopita tulikuwa nafasi ya 3 (kipindi cha mou tulikuwa bottom 3 kama sijakosea) tulipitwa na Leeds na Southampton tu, kwa top 6 sisi tulikuwa juu.
View attachment 2206484
Issue kwangu ninayoiona ni Tunakabia wapi, kipindi Cha ole ama Timu ya Taifa uingereza timu inakaa Nyuma, unasubiri adui umkabie langoni mwako, hapa ngumu kukuta nafasi na kuna wachezaji wakiwa compact hawawi exposed sana mfano Maguire. Japo kuna match hizo nafasi zilikuwepo midfield na tulifungwa mashuti ya mbali ya kutosha.
RR yeye ama Klop na makocha wengine wa kisasa wao wana High line pressing, ambao ni mfumo mpya kwetu, even ole alijaribu mwanzo wa msimu, kifupi wachezaji wetu wengi wamefeli huu mfumo, sababu inahitaji mukabe kwa mstari na sio mtu mmoja azunguke uwanja mzima, akitoka mmoja kukaba ndio pale unakuta bonge la nafasi linaachwa.
Mfumo wa Ole (ambao pia upo inspired toka kwa Fergie) upo very effective against gegenpress na mifumo ya Highline, there is a reason ole alikuwa akizifunga Timu kubwa, historically Man U tumezionea sana timu hizi hasa za Ujerumani.In short mnacheza mpira wa kizamani.
1 - 0Nyie munategemea Nini msimu huu?
Subiri Pep aondoke ndio utajua hujui. Pep ni lamaya, hakai nyumba moja.atasepa kizungu wanasema wait and see.. wazungu bana wakaendelea kusema, ..we don't give a shit...man city akipata au kukosa. We just f..KY a monster Liverpool some daysSasa nyie mnakusanyika huku kwenye jukwqa lenu wakati hamtegemei chochote, si afadhali mngehamia wote kwa kwa city mkashangilie huko angalau mji wenu wa Manchester upate kitu cha kujivunia. Kukusanyika huku na kujifariji kwenye jukwaa la timu chovu ni kujitakia pressure bure.
YNWA for life.
Theory yako Ina apply wapiMfumo wa Ole (ambao pia upo inspired toka kwa Fergie) upo very effective against gegenpress na mifumo ya Highline, there is a reason ole alikuwa akizifunga Timu kubwa, historically Man U tumezionea sana timu hizi hasa za Ujerumani.
Ila mfumo huu unastrugle against timu ambazo zina posses na Technique kubwa, tumestrugle sana vs Spain Teams.
Inategemea unautumia wapi, ila Chelsea, ATletico, Conte na timu zake, Juve na wengine wengi tu wanatumia zama hizi kwa mafanikio makubwa tu.
Comment nzima inaelezea ina apply wapiTheory yako Ina apply wapi
[emoji23][emoji23][emoji23]Hakosagi takwimu, cjui huwa anazitoa wapi, ila jamaa ni professional IT huenda anazitengeneza mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimekaa mwezi mzima sijaandika lolote humu..
Lakini leo nakuja na swali dogo tu..Hivi ni nani alimpa Fernandes mkataba mpya wa miaka minne?,...ETH alikuwa bado hajawa appointed,ni nani hasa aliona miaka minne apewe Fernandes?.
[emoji16]