Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,225
- 44,214
That still Explain nothing Mkuu, Unamuonaje Varane wa Sasa? Sancho wa sasa? Mc tominay wa sasa? Bruno wa sasa? Even hata Huyo Ronaldo, wachezaji wachache sana utasema wana perform kwa level yao, Ukitoa Fred sijui nani mwengine.
Na huu ndio ukweli, wenye wivu na wajinyonge au wakalilie chooni.Key word: ATTITUDE. Kitu ambacho wachezaji wengi wadogo kama Rashford au Martial hawana huu msimu ila mzee kama CR7 anacho.
Msimu ujao, tujenge timu arround CR7.
Hata kama hatutapata kombe lolote, basi tumpe nafasi ya kuendelea kuvunja rekodi zake.
Pengine zinaweza tupa kitu vilevile, tunaweza tusitoke kapa.
Akiwa na timu nzuri, CR7 anaweza kupa magoli 30+ kila msimu kwa misimu mingine mitatu mfululizo.
Hata huu msimu angekuwa na goli hata 30 bila shida. Basi tu yupo kwenye timu iliyooza.View attachment 2204609
Nimeangalia Mechi jana na Gape nimeliona, huwezi Kulaumu Wachezaji kwa lile Gape, mara moja ama mara 2 utasema maybe wamejisahau ila inatokea zaidi ya mara 20 huo ni mfumo.🎙 Gary Neville:
“Look at the gaps and the space! It's unbelievable. You don't see any teams in the league give the space that Manchester United do.”
#MUNCHE
Kwahiyo ETH ndo atarudisha kiwango chake?That still Explain nothing Mkuu, Unamuonaje Varane wa Sasa? Sancho wa sasa? Mc tominay wa sasa? Bruno wa sasa? Even hata Huyo Ronaldo, wachezaji wachache sana utasema wana perform kwa level yao, Ukitoa Fred sijui nani mwengine.
Coincidence? No. Akicheza Rashford sisi wabovu, asipocheza Rashford vile vile ni Wabovu, Akiwepo Maguire Tunacheza Vibaya na Asipokuepo Maguire pia Tunacheza Vibaya.
Kutafuta Excuse na kuridhisha Nyoyo Zetu tunatafuta Ng'ombe wa Kafara, tumponde wee, then zigo lote la lawama Tumuangushie yeye. Kifupi mfumo Tunaocheza sasa haufit wachezaji wetu, na Viwango vyao vya sasa Havireflect uwezo wao Halisi.
Itategemea na mfumo atakaocheza hilo tutalijua msimu ujao.Kwahiyo ETH ndo atarudisha kiwango chake?
Hakosagi takwimu, cjui huwa anazitoa wapi, ila jamaa ni professional IT huenda anazitengeneza mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa Ronaldo anamwambia Rashford wapi anatakiwa kwenda.View attachment 2204606
Rashford ana Goli 6 mechi 6 msimu uliopita UCL, na kakutana na Mbape kamfunika Mechi zote 2, jumla alicheza dakika 416Ukitaka Chief Mkwawa akunase ingianaye kwenye Takwimu uone! Nilisita kumwambia aniletee Takwimu za Mbappe v/s Rashford manake ninauhakika angeniletea Takwimu za Rashford zilizo Bora kuliko za Mbappe.
Yani Mchezaji akimbampa atakuketea Takwimu from nowhere.
Surprisingly mwisho wa yote huonekana anayekataa takwimu ndiyi yupo sahihi.Ukitaka Chief Mkwawa akunase ingianaye kwenye Takwimu uone! Nilisita kumwambia aniletee Takwimu za Mbappe v/s Rashford manake ninauhakika angeniletea Takwimu za Rashford zilizo Bora kuliko za Mbappe.
Yani Mchezaji akimbampa atakuketea Takwimu from nowhere.
Haipo hivyo. RR atafanya kazi United siku 6 tu kwa mwezi. RR kufanya kazi sehemu mbili haitaharibu mipango yoyote ile kwa United au Austria.Kama Ralf amekubali kua kocha wa Austria hii inamaanisha hata yeye mwenyewe haamini juu ya mipango na visions za united.
Ten Hag kaingizwa cha kike.
Hahahaaa tonsils ndio inaweza kumkosesha mechi zilizosalia? Ugonjwa unaoweza kupona ndani ya masaa 24 tu.Rangnick: “As it seems, Jadon [Sancho] might be out for the rest of the season with his tonsillitis, so he will most likely be unavailable against Brentford.”
Jombaa, unatoa wapi nguvu ya kumtetea mchezaji mjinga kama Marcus Rashford?That still Explain nothing Mkuu, Unamuonaje Varane wa Sasa? Sancho wa sasa? Mc tominay wa sasa? Bruno wa sasa? Even hata Huyo Ronaldo, wachezaji wachache sana utasema wana perform kwa level yao, Ukitoa Fred sijui nani mwengine.
Coincidence? No. Akicheza Rashford sisi wabovu, asipocheza Rashford vile vile ni Wabovu, Akiwepo Maguire Tunacheza Vibaya na Asipokuepo Maguire pia Tunacheza Vibaya.
Kutafuta Excuse na kuridhisha Nyoyo Zetu tunatafuta Ng'ombe wa Kafara, tumponde wee, then zigo lote la lawama Tumuangushie yeye. Kifupi mfumo Tunaocheza sasa haufit wachezaji wetu, na Viwango vyao vya sasa Havireflect uwezo wao Halisi.
Issue mashabiki mnajifanya mnajua sana, kwamba ETH hajui cha kumfanya Rashford wewe huku unajua?Jombaa, unatoa wapi nguvu ya kumtetea mchezaji mjinga kama Marcus Rashford?
EtH akijokoroga tu aanze ku-renew mikataba ya vilaza kama hawa maisha yake OT yatakuwa mafupi sana.
Kuwa kocha wa taifa ni rahisi kumanage na roles za consultancy kuliko kuwa kocha wa club nyingine.Kama Ralf amekubali kua kocha wa Austria hii inamaanisha hata yeye mwenyewe haamini juu ya mipango na visions za united.
Ten Hag kaingizwa cha kike.