Owen akimalizana na Rashford tunamuomba ahamie kwa Bruno Fernandes.Owen kamsagia sana kunguni Rashford safi sana.
yeye na scot ndo walikuwa wanapoteza mipira sanaOwen akimalizana na Rashford tunamuomba ahamie kwa Bruno Fernandes.
Huyu jamaa tokea kusajiliwa kwa Ronaldo amekua ni mchezaji wa hovyohovyo sana, anapoteza mipira kizembe sana, pasi zake na zenyewe siku hizi zimekua za hovyo hazifiki kwa mlengwa, anachojua kwa sasa ni kujiangusha tu hovyohovyo na kulalamika kwa refa kutaka mbeleko.
kasemajeOwen kamsagia sana kunguni Rashford safi sana.
Hamna Kiungo Humo Nashaanga Sana Watu Wanaombeza Pogba Akati Kuna Kiungo Kilaza Kama Huyo Jamaa.tokea kilipoanza kipindi cha pili mechi ya jana dhidi ya chelsea, scott mctominay alicheza dakika 39 bila ya kupiga pasi sahihi kwa mchezaji mwenzake. Dakika ya 84 ndio alifanikiwa kupiga pasi sahihi. Sijui mshanielewa?
Halafu haoni noma anakomaa kabisa anakuja na takwimu na manamba namba mara anakwambia hata Mane akasome.Chief-Mkwawa anakwambia huyo Rashford ni Level ya Mbappe
Halafu haoni noma anakomaa kabisa anakuja na takwimu na manamba namba mara anakwambia hata Mane akasome.
40 for only EPL.How many goals would have Ronaldo scored at Man City?
Hana akili ya mpira.tokea kilipoanza kipindi cha pili mechi ya jana dhidi ya chelsea, scott mctominay alicheza dakika 39 bila ya kupiga pasi sahihi kwa mchezaji mwenzake. Dakika ya 84 ndio alifanikiwa kupiga pasi sahihi. Sijui mshanielewa?
Hakosagi takwimu, cjui huwa anazitoa wapi, ila jamaa ni professional IT huenda anazitengeneza mwenyeweHalafu haoni noma anakomaa kabisa anakuja na takwimu na manamba namba mara anakwambia hata Mane akasome.
Chief-Mkwawa adhibitiweHakosagi takwimu, cjui huwa anazitoa wapi, ila jamaa ni professional IT huenda anazitengeneza mwenyewe
Hapa Ronaldo anamwambia Rashford wapi anatakiwa kwenda.Chief-Mkwawa anakwambia huyo Rashford ni Level ya Mbappe