Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tumestahili kuwa hapa tulipo...bora tusiwe kwenye mashindano yyte nje ya England msimu ujao,maana huu msimu kwetu sisi umekwisha tushapoteza,kilichobaki ni kujenga timu tu.
 
Tumestahili kuwa hapa tulipo...bora tusiwe kwenye mashindano yyte nje ya England msimu ujao,maana huu msimu kwetu sisi umekwisha tushapoteza,kilichobaki ni kujenga timu tu.
Hakuna hiyo, mjenge timu ipi? Nyinyi pamoja na Ronaldo wenu mtaenda kucheza conference league.. kwisha habari!
 
Now we have to remove captain armband from Fernandes and give it back to Maguire
 
I want to request the Premier League government body to excuse Man U from playing the remaining matches.
The more Man U playing the more embarrasment will be upon them
Man U are not ready for this season as we thought the covid restrictions were going to stay in place until August 2022.
They will be back in style!!
 
Discovered United's biggest problem this season...it's the captain's armband, everyone who owns it is very, very disappointed. Maguire is not the problem, sorry Maguire!!! The rest of the season is now just a test, try to let Maguire play without the captain's armband, United will not concede
 
Baina yao hakuna hata mmoja mwenye skills mguuni isipokuwa mmoja ana mambio mbio yasiyokuwa na impact yoyote uwanjani.
 
Why bench Maguire and everyone knows his footwork
I don't think Man U deserve to win this game without Lord Maguire
 
CAVANI

POGBA

RASHFORD
LINGARD

MARTIAL
PEREIRA
MATA

MATIC

SHAW
BAILY
DALOT
JONES

Ukitolewa huu uchafu tutaanza kuona mabadiliko. Wakina Amad, Pellistri na VDB warudishwe na wapewe nafasi next season. Naamini dirisha hili tutafanya usajili wa maana na siyo kuendeshwa na majina makubwa kwasababu hayo majina makubwa hayako willingly kucheza timu isiyoshiriki UCL, hiyo ni faida kwetu tutaenda kwenye other cheaper options kwa usaidizi wa watu wa mpira RR na EtH.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…