Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bruno ana mawenge haikupaswa kumpa penati, maana toka Ronaldo aje haeleweki.
 
Why wasifanye sub ya bruno, naona kichwa hakiko sawa hadi kapokonywa mpira goooool
 
Naona kocha wa makocha anatoa lawama, kila mtu acheze

Hizo sub ni kutarajia kamba ya nne na ya tano
 
Trashford na Lingard wanaingia kufanya nini kama si kuongeza uvivu wa kutafuta ushindi?
 
Poleni sana ndugu zangu 🤣🤣🤣🤣

Mlikuwa mna maneno mengi nyie ety
Manchester united kama siyo mabingwa wa England Basi mabingwa wa UCL

Hehehehe
 
Hii timu angepewa Furguson na uzee wake huu angebeba EPL kila msimu
 
Niulihisi Bruno atakosa, shit. Kwa nini Ronaldo asiwe anapiga
Bruno toka Ronaldo aje hajielewi, Wangempa tu Ronaldo ili kuwapa Arsenal wakati mgumu. Ona sasa Bruno kachoma Mpaka Goli la tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…