Yeah kwa kuwa na umoja mbele, mfano pale pa Fernandes angempa Ronaldo, Ronaldo chance ile ya mpira kugonga mwamba angesukumiza kwa aliye na upenyo.Refa kavu Sana. Sema hii mechi sio ngumu kwetu. Tukiwa serious tunashinda
Haya mnaongozaKashaweka huko subiri kipindi cha pili awaweke tena
Dogo ile sio bahati. Anajituma Sana na uwezo anao. Bado anasumbuliwa na utoto. Kadri siku zimavyoenda atamature, hata Rashford alianza hiviHiyo elanga kale kabahati ilikokapata mechi ya Atletico ... Siyo rahisi kujirudia
Uko Sahihi, watoe Dalot japo kuongeza Wan Bissaka ili Winga moja ya arsenal ife.Tatizo Manchester wanakabia macho ila mechi nyepesi sana
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Atakomaa zaidi akipata kocha anaye angalia unaleta nini mezani sio wewe staa akuweke, hatufiki hapo.Dogo ile sio bahati. Anajituma Sana na uwezo anao. Bado anasumbuliwa na utoto. Kadri siku zimavyoenda atamature, hata Rashford alianza hivi
Sahihi mkuu hii mechi nyepesi sanaUko Sahihi, watoe Dalot japo kuongeza Wan Bissaka ili Winga moja ya arsenal ife.
Umehamia kwenye kuongoza baada ya CR7 kuwatomasaHaya mnaongoza
Verane ni 19, telles 27, aliyekuwa anabembea kucheza msondo ni namba 27 ambayo ni ya TellesVarane bila shaka, la kwanza maana Telles alijua Varane ataclear mara paap blunder