Hii spinning uliyoifanya hapa chief naona umeniachaHio Logic unayoleta haina mantiki, kwa hio Scholes, Giggs, Neville, na wengineo walikuwa ni wachezaji wabaya? Sababu timu yenye Hadhi ni Man united?
Ni ngumu sana Mchezaji mzuri wa Academy kutoka Club yake unless kuwe na Zengwe.
Na Mkuu kwenye Mpira kuna falsafa kila Kocha na mbinu zake, Pep hakuwezana na Ibra Alikaa sana Benchi, Ibra ni Mchezaji mbaya? Mou na kaka, Pep na Ronaldinho, Mou na Shevchenko na wengine wengi tu.
Msimu uliopita Rashford kacheza mechi 37 epl na mechi 6 UCL kamiss mechi 1 tu unasemaje anakaa bench? Kwenye mifumo ambayo yeye ni. Muhimu kama wakati wa Ole sijamuona akikaa Bench, hata miaka 25 hajafika Tayari anamechi karibia 300.
2020/2021
Mane 48 Rashford 57
Mane 16 rashford 21
Mane 9 Rash 15
Mane 1.7 Epl na 0.4 UCL average 1.05
Rash 1.2 Epl na 1 UCL averga 1.1
Probably less than one kwa wote
Mane epl 2.7 na ucl 1.7 average 2.2
Rash epl 2.1 na ucl 2.1 average 2.1
(hapa inavunja hoja yako kwamba Rash anahitaji kupiga mashuti mengi kufunga, infact amepiga machache na kufunga goli nyingi compare na Mane aliepiga mengi na kufunga machache)
Mane epl 2.3 na UCL 1.2 average 1.75
Rash epl 2.2 na Ucl 2.7 average 4.45
Ukisort per min Goals
232 per goal Rash 197
Haya Soma hizo data Niambie last season Nani alikua Bora.
Mkuu Chief-Mkwawa kwahiyo wakiwekwa sokoni Mane na Rashford yupi atakuwa na soko la haraka na la bei nzuri kati yao?Msimu wa Juzi na msimu wa Jana Rashford anafunga Goli 20+ kwenye msimu na Kutoa Assist 10+ zaidi Goal comtribution 30. Misimu yote miwili Aliwazidi wachezaji kibao ikiwemo kina Mane
Habari hii ni kama muziki mzuri wa country siku ya jumapili asubuhiPogba hata-renew mkataba wake.
Ataondoka mwisho wa msimu kama free agent.
According to Ralf.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaomba tu awepo leo na mechi ijayo dhidi ya Chelsea kisha tunamruhusu RR ampumzishe mpaka msimu uishe ajiandae kwa ajili ya msimu mpya😁Halima Kwaya wanataka kumlipua huko ila bado hataki kuhama Utd, ngoja tuone hili saga litaishaje.
Afadhali Halima Gwaya leo anaanzia bench, maana akianza wachezaji wa united hua wanacheza nae kwa uoga na tahadhari sana maana muda wowote anaweza kuwajeruhi.Kosi la leo kama lakiushindi ushindi vile.
GGM[emoji83][emoji83]View attachment 2197565
Ja Mane msimu uliopita uliona mashabiki wa Liverpool wakisema auzwe na hana maana? Hapana. Na mwaka huu anakiwasha so far amekuwa shortlisted kwenye Baloon D or ahead of salah.Rash was better