Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwahiyo Rashford aliwahi kumzidi Mane sio?

Kweli wewe ni Chief manake hakujawahi kuwa na Chief mwenye akili ndiyo mana waliishia kuuliwa na Wajerumani.
Season zote mbili Chini Ya ole Rashford kaperform much better kuliko Mane. Nimetoa data zangu juu kama una ushahidi mzuri tuletee Mane alikuwa Mzuri kuliko Rashford, especially last season.
 

Nilichogundua huyo hakubali chochote kitakachokuwa against na Rashford hata kama ni Fact
 
Season zote mbili Chini Ya ole Rashford kaperform much better kuliko Mane. Nimetoa data zangu juu kama una ushahidi mzuri tuletee Mane alikuwa Mzuri kuliko Rashford, especially last season.

Hujaleta Data yoyote Ndugu Bali umeeleza hisisa tu ambazo kikawaida Huwa hisia haziprove facts.

Ungeleta hizi 👇ndiyo ningetafsiri kuwa ni Data.

Mane v/s Rashford

Season: ??
Game played: ??
Goal Scored: ??
Assists: ??
Chance created: ??
Key Passes: ??
Crosses: ??
Number of Shots: ??
On Targets: ??
Takes on: ??
Dribbles: ??
Minutes per goal: ??

Kama hujui hizo ndiyo zinazoitwa Data na ndiyo tunapaswa kuzitafsiri, ungeleta hizo na sio hisia zako.
 
Hao kina Rashford, Magwaya, Lingard, Martial na Jones waondoke alafu kina Shaw, Fred na Mctomy wapunguziwe dakika za uwanjani tutafute replacement zao kama kweli tunataka utd irudi.
 
Kweli kabisa mkuu.
 
Hizo siku anazokua mzima na bado hagewi namba kukaa huko pembeni unaziongeleaje?

4 2 2 2 haina winga au siyo? Simply means hata kocha wa muda hakumuamini Rashford so what?

Formation ilikua 4 3 1 2 mechi ilitoka suluhu ya moja moja. Na ni kweli kocha hakua Ralf.

Regardless bado hakuna kocha ambaye alimuangalia Rashford akasema "Huyu ni Mbappe/ Haaland siwezi muweka benchi"

Rashford anaweza jikuta timu pekee yenye hadhi atakayochezea ni united. Waweza sema same story kwa Mbappe na Haaland?
 
Hujaleta Data yoyote Ndugu Bali umeeleza hisisa tu ambazo kikawaida Huwa hisia haziprove facts.

Ungeleta hizi 👇ndiyo ningetafsiri kuwa ni Data.

Mane v/s Rashford

Season: ??
2020/2021
Game played: ??
Mane 48 Rashford 57
Goal Scored: ??
Mane 16 rashford 21

Assists: ??
Mane 9 Rash 15
Chance created: ??

Key Passes: ??
Mane 1.7 Epl na 0.4 UCL average 1.05
Rash 1.2 Epl na 1 UCL averga 1.1

Crosses: ??
Probably less than one kwa wote
Number of Shots: ??
Mane epl 2.7 na ucl 1.7 average 2.2
Rash epl 2.1 na ucl 2.1 average 2.1
(hapa inavunja hoja yako kwamba Rash anahitaji kupiga mashuti mengi kufunga, infact amepiga machache na kufunga goli nyingi compare na Mane aliepiga mengi na kufunga machache)
On Targets: ??

Takes on: ??
Dribbles: ??
Mane epl 2.3 na UCL 1.2 average 1.75
Rash epl 2.2 na Ucl 2.7 average 4.45
Minutes per goal: ??
Ukisort per min Goals
232 per goal Rash 197
Kama hujui hizo ndiyo zinazoitwa Data na ndiyo tunapaswa kuzitafsiri, ungeleta hizo na sio hisia zako.
Haya Soma hizo data Niambie last season Nani alikua Bora.
 
Hio Logic unayoleta haina mantiki, kwa hio Scholes, Giggs, Neville, na wengineo walikuwa ni wachezaji wabaya? Sababu timu yenye Hadhi ni Man united?

Ni ngumu sana Mchezaji mzuri wa Academy kutoka Club yake unless kuwe na Zengwe.

Na Mkuu kwenye Mpira kuna falsafa kila Kocha na mbinu zake, Pep hakuwezana na Ibra Alikaa sana Benchi, Ibra ni Mchezaji mbaya? Mou na kaka, Pep na Ronaldinho, Mou na Shevchenko na wengine wengi tu.

Msimu uliopita Rashford kacheza mechi 37 epl na mechi 6 UCL kamiss mechi 1 tu unasemaje anakaa bench? Kwenye mifumo ambayo yeye ni. Muhimu kama wakati wa Ole sijamuona akikaa Bench, hata miaka 25 hajafika Tayari anamechi karibia 300.
 
Tena mapema sn avuliwe kitambaa.
Mimi nawalaumu sana mashabiki wa Man United wanaokua uwanjani halafu wanamkaushia huyu mjinga, ilitakiwa kila akigusa mpira tu mashabiki wote wanamzomea mpaka yeye mwenyewe ataomba akae bench.
Uongozi wa United wanatufanyia dharau ya makusudi kabisa mashabiki kwa kung'ang'ania kumchezesha Maguire hali yakua wanajua hana msaada wowote na timu zaidi ya kutuchomea nyumba.
 
Huyu fala anai-disrespect sana badge. Kuna siku nilirusha chupa ktk Tv yangu kwa hasira alitoa boko ile mechi ya Leicester.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…